Zambia Wamefaidika Nini Na Hiyo Demokrasia Yao?

Abel 2015

Senior Member
Sep 5, 2015
112
55
Facts

Pamoja Na Zambia Kua Na Hyo Demokrasia Ya Siasa Bado Ni Maskini.
Magufuli Yuko Sahihi Kuzuia Siasa Tuanze Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi.
Nchi Za Tigers Countries, China, Rusia, Britain, France Zilianza Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi Refer Britain Katika Industrial Revolutn Walikua Na Absolute Monarchy Ndipo Wakaingiza Constitutn Monarchy.
Afrika Bado Ni Maskini Tunatakiwa Tuanze Na Demokrasia Ya Uchumi Kwanza.
Siasa Haina Tija Kujenga Tanzania Mpya..
 
Yes. ! nakuunga mikono yote, miguu masikio na macho. mifano ipo wazi mbona. tatizo la Tanzania tunataka tupige kasi ya kiuchumi eti kwa njia ya ulaini ulaini tuu. haiwezekani. hakuna maendeleo yanayoweza kuja kiulainii laini kwa kufuata eti demokrasia na haki za binadamu. hatutafika.sheria zifuatwe na ziwe kali zaidi. binadamu tuna tabia ya ku relax kwa kila jambo. bila kusukumwa na hasa kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu mambo hayaendi
 
Peter R. Pierre,
nadhani Wewe ambaye mpaka leo baada ya miaka hamsini ya uhuru bado masikini wa kutupwa. umeitumiaje akili yako.au siasa imekusaidiaje katika maendeleo yako binafsi ya kiuchumi. kama si kuishia kupigwa virungu au kutolewa ngeu na askari tu.tusidanganyane. wakati wewe ambaye ni maskini unashawishiwa eti uende kwwnye
maandamano ya UKUTA wenzako viongozi ni matajiri wa kutupwa na wamewekeza mafedha mpaka nje ya nchi. unajua wametajirika kwa kupitia nani. ?? ni mimi na wewe na yule tu hakuna mwingine. wanatumia kitu kinaitwa fursa kama CLOUDS wanayohamasisha
 
. wanatumia kitu kinaitwa fursa kama CLOUDS wanayohamasisha
Wakati mwingine nikiangalia mabandiko yenu huwa nasema hata hizo buku saba mnazolipwa mbona nyingi sana, kwa lipi hasa mnaloandika humu. Hiyo sentence yako pamoja na kukaa upogo lakini pia hilo neno halisawiri maneno ya Kiswahili yaliyotangulia!! Kwani nyie mkoje?
 
Siasa Hazina Tija Kipindi Hiki.. Magufuli Yuko Sahihi, Kwa Afrika Hebu Mtoeni Mfano Nchi Gani Iliyo Na Demokrasia Ya Siasa Imeendelea, Hao Ukawa Ni Ma Euro Centric, Hawana Nafas Kwa Kujenga Tz Tunayoitaka
 
Amna demokrasia ya uchumi,wala uchumi hauletwi kwa kuongea na kupayuka ovyo. Uchumi unajengwa kwa kuwekeza,lazima serikali iwekeze kwenye kilimo,miundombinu kama barabara na umeme, lazima watengeneze mazingira bora ya kufanya biashara kama kuwa na mabank ya biashara,kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wafanyabiashara na kuweka kodi nafuu kwa wafanyabiashara.
Kama mnataka uchumi ukue ni lazima tuwe na balance ya kuingiza/kutoa bidhaa nchini. Uwezi kuuza tu bila kuingiza na uwezi kuingiza tu bila kuuza.
Jambo lingine ni lazima kuwe na political stability,wawekezaji awawezi kuwekeza sehemu isiyokua na political stability.
Ni lazima wananchi wawe na purchasing power,uwezi kuzalisha bidhaa wakati wananchi awana uwezo wa kununua.
Kukuza uchumi unaenda sawa na hali ya siasa kwenye nchi husika.
 
Yes. ! nakuunga mikono yote, miguu masikio na macho. mifano ipo wazi mbona. tatizo la Tanzania tunataka tupige kasi ya kiuchumi eti kwa njia ya ulaini ulaini tuu. haiwezekani. hakuna maendeleo yanayoweza kuja kiulainii laini kwa kufuata eti demokrasia na haki za binadamu. hatutafika.sheria zifuatwe na ziwe kali zaidi. binadamu tuna tabia ya ku relax kwa kila jambo. bila kusukumwa na hasa kwa nchi zetu hizi za dunia ya tatu mambo hayaendi
We jamaa ulichokiandika unakielewa kweli...utawala wa sheria unatofautianaje na wa kidemokrasia??
 
nadhani stupid ni wewe ambaye mpaka leo baada ya miaka hamsini ya uhuru bado masikini wa kutupwa. umeitumiaje akili yako.au siasa imekusaidiaje katika maendeleo yako binafsi ya kiuchumi. kama si kuishia kupigwa virungu au kutolewa ngeu na askari tu.tusidanganyane. wakati wewe ambaye ni maskini unashawishiwa eti uende kwwnye
maandamano ya UKUTA wenzako viongozi ni matajiri wa kutupwa na wamewekeza mafedha mpaka nje ya nchi. unajua wametajirika kwa kupitia nani. ?? ni mimi na wewe na yule tu hakuna mwingine. wanatumia kitu kinaitwa fursa kama CLOUDS wanayohamasisha
Status niliyonayo utakufa bila kuifikia kijana....uchumi wa ujumla (taifa) ndo bado ila wapo ambao hawanashida kama unavyodhania.....try to be objective and avoid subjectivity..... Huo ukuta nao unaujua wewe ulioshikishwa.
 
Wakati mwingine nikiangalia mabandiko yenu huwa nasema hata hizo buku saba mnazolipwa mbona nyingi sana, kwa lipi hasa mnaloandika humu. Hiyo sentence yako pamoja na kukaa upogo lakini pia hilo neno halisawiri maneno ya Kiswahili yaliyotangulia!! Kwani nyie mkoje?
hahahah Allen umerudii. karibu. naona sindano imekuingia tartiiibu. sawiaa.! habari ndio hiyo! hiyo ndio hali halisi ya sasa. nikupe mfano mmoja.wakati tunaelekea kukaribia uchaguzi mkuu mwaka jana, kiongozi mmoja mkubwa wa upinzani alinaswa akisafirisha miamala ya mapesa mabilioni kwenda bara Asia. kwwnye akaunti tofauti. katika kipindi kigumu kama kile.unakumbuka au unajisahaulisha. katika kipindi kile unadhani kulikuwa na dili gani. na kwa biashara ipi. haya njoo utetee
 
Status niliyonayo utakufa bila kuifikia kijana....uchumi wa ujumla (taifa) ndo bado ila wapo ambao hawanashida kama unavyodhania.....try to be objective and avoid subjectivity..... Huo ukuta nao unaujua wewe ulioshikishwa.
walio na status unawajua mzee. ukiwatafuta kwwnye mitandao utawapata wameandikwa! taja kina MO and them. we ni kajambanani tu kama wwngine. na ukifuatiliwa sana utakuta umekwepa kodi somehow somewhere. huo ndio ukweli. wengi wa matajiri uchwara tulionao sasa wana vi element hivyo na ndio maana mkulu kavalia njuga.
 
Hahaha Hili Kombora Limewaingia Ipasavyo, Naona Mnaruka Ruka Tu.. Hamjajibu Title Ya Thread.. Zambia Imefaidika Nini?? Naona Edga Lungu Anaelekea Kushindwa Na Chama Chake Kilikua Cha Upinzani.. Siasa Haina Nafas Tanzania Mpya Tunayoitaka
 
Facts

Pamoja Na Zambia Kua Na Hyo Demokrasia Ya Siasa Bado Ni Maskini.
Magufuli Yuko Sahihi Kuzuia Siasa Tuanze Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi.
Nchi Za Tigers Countries, China, Rusia, Britain, France Zilianza Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi Refer Britain Katika Industrial Revolutn Walikua Na Absolute Monarchy Ndipo Wakaingiza Constitutn Monarchy.
Afrika Bado Ni Maskini Tunatakiwa Tuanze Na Demokrasia Ya Uchumi Kwanza.
Siasa Haina Tija Kujenga Tanzania Mpya..
Nilikuwaga na baba mdogo ambaye alikuwa anajidai kujua kiingereza, sasa akitaka kutukana kama umemwuzi anatukana "Sichupid!" Sasa na wewe mkuu ni "sichupid" sana!
 
Facts

Pamoja Na Zambia Kua Na Hyo Demokrasia Ya Siasa Bado Ni Maskini.
Magufuli Yuko Sahihi Kuzuia Siasa Tuanze Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi.
Nchi Za Tigers Countries, China, Rusia, Britain, France Zilianza Kwanza Na Demokrasia Ya Kujenga Uchumi Refer Britain Katika Industrial Revolutn Walikua Na Absolute Monarchy Ndipo Wakaingiza Constitutn Monarchy.
Afrika Bado Ni Maskini Tunatakiwa Tuanze Na Demokrasia Ya Uchumi Kwanza.
Siasa Haina Tija Kujenga Tanzania Mpya..
Mpaka sasa maisha yako yamekuwa Bora kiasi gani
 
nikupe mfano mmoja.wakati tunaelekea kukaribia uchaguzi mkuu mwaka jana, kiongozi mmoja mkubwa wa upinzani alinaswa akisafirisha miamala ya mapesa mabilioni kwenda bara Asia.
Taja hata benki moja tu ambayo miamala hiyo ilipelekwa. Hizo hadithi za pale Falcon Cafe ziishie pale pale!!
 
İkifika usiku huwa napitia mawazo ya vijana wa kibongo wa jf yani mawazo yapo kisiasa siasa tu
Hamna hata kufanya kazi
Demokrasia demokrasia upuuuzi mtupu
 
We jamaa ulichokndika unakielewa kweli...utawala wa sheria unatofautianaje na wa kidemokrasia??
ok kwa hiyo sheria zikiwa kali sana ni sawa na demokrasia imekomaa sioooo ? hahahaha. basi sawa.
sheria ya mtandao ilivyo safi ipo sambamba na demokrasia sio. basi sawa. be careful usikurupuke
 
Taja hata benki moja tu ambayo miamala hiyo ilipelekwa. Hizo hadithi za pale Falcon Cafe ziishie pale pale!!
hahaha kwanza jibu ulisikia au hukusikia. uliona mitandaoni na magazetini au hukuona. au umelishwa sumu mzee utetee na uje kuchukua buku 10 zako pale ofisini kwetu ufipa. hukumbuki hata msemaji wa chama Makene alijitokeza kutetea kua miamala ile haihusiani na chama ni ya mtu binafsi tu. ni kweli kuwa miamala ilikuwepo ila alisema ni ya mtu binafsi. na biashara zake
 
Back
Top Bottom