Zambia vipi huko, any clue?

Hivi hatuna mwanaJF aliyepo huko Lusaka atupe updates?
Nchi zikiwa na uchaguzi mara nyingi wageni hurudi makwao kwa muda kuskilizia, hata magari transit tu husimama kwa muda upepo upite kama hapo nafikiri hakuna movements za border to border za Zambia hadi next week kilingana na hali itakavyokuwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…