Zambia Magharibi nao wanataka kujitenga

Zambia Magharibi nao wanataka kujitenga

Duuuu dhambi ya kujitengaa na kuzinduka kwa wanaonyonywa na wanyonge....wasiwasi wetu na hapa tz zitakuja kufika tuu....mikoa ya pembezoni mtwara,lindi,songea...kigoma ,rukwa etc....time will tell let's wait and see.....duania kw akarne mpya ya mageuzi ya kifikra na mtazamo wa kudai haki za wanyonge...
 
Bado Kongo DRC eneo la Lubumbashi kama sio Katanga.
 
mwanzo tu wa mazuri (sic!)
 
Back
Top Bottom