Kang JF-Expert Member Jun 24, 2008 5,495 2,252 Jun 6, 2009 #1 Naona Zambezi wamelaunch route ya Dar-Joburg X 2 kwa wiki. Kuna mtu anajua gharama zake? maana kwenye website route hii naona haijakaa vizuri bado.
Naona Zambezi wamelaunch route ya Dar-Joburg X 2 kwa wiki. Kuna mtu anajua gharama zake? maana kwenye website route hii naona haijakaa vizuri bado.
M MzalendoHalisi JF-Expert Member Jun 24, 2007 4,520 1,368 Jun 6, 2009 #2 Hivi Precision na Air Tz wanaenda tena Jbg sasa???