Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,501
- 6,201
Sema unatania!! Studio ya kisasa ya kutengeneza filamu?! Man, usichanganye kati ya film studio na production company kwa sababu studios are basically production companies but production companies aren't studios! Na tunaposema studio basi tunatarajia baadhi ya kazi zake (shooting) ziwe zinafanyika hapo hapo na ndio maana studio kama studio, na kwavile umesema "studio ya kisasa" basi tunatarajia iwe na set of buildings kuwezesha indoor film shooting.Kwe hiyo hela si unafungua studio ya kisasa kbs ya kutengeneza filamu hapa bongo, zama hapa anatupiga chenga ya mwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimewaza au studio/kampuni hailipi kama movie!!!Kwe hiyo hela si unafungua studio ya kisasa kbs ya kutengeneza filamu hapa bongo, zama hapa anatupiga chenga ya mwili
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio gharama ya uandaaji bali kujua inauwezo wa kuelimisha jamii na kuilinda jamii maana film nyingi bongo huwezi angalia ata na mwanaoDada Zama muda huu anaongea na Waandishi wa habari kasema kuwa kuna ujio wa filamu yake yenye mapigano ndani ambayo ameiandaa kwa millioni miambili
====
Mtangazaji maarufu nchini Tanzania, Zamaradi Mketema amekuja na filamu iliyomgharimu Sh200 milioni katika kuitengeneza huku akieleza kuwa filamu hiyo imekuja kuleta mapinduzi katika sekta ya filamu.
Filamu hiyo inayoitwa 'Cop's Enemy' aliyoanza kuitengenezwa tangu mwaka 2016 na prodyuza John K, imechezwa katika nchi tatu ikiwemo Tanzania, Australia na India.
Wakati wasanii walioshirikishwa wamo Wema Sepetu, Stanlenley Msungu na Aunt Ezekiel kutoka Bongo, Van Vicker wa Ghana na wengine kutoka Nigeria, India na Australia.
Zamaradi ambaye aliwahi kuongoza filamu ya Kigodoro Kantangaze na Nzowa, akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Februari 4, 2019 amesema utengenezaji wa filamu hiyo ya gharama umelenga kuleta mapinduzi katika tasnia ya filamu hapa nchini ambayo imeonekana kushuka.
Amesema kutokana na hilo hakuhofia gharama watakazotumia kwani shida ilikuwa wafanye kitu kizuri kitakachorudisha heshima ya filamu nchini Tanzania.
Kwa upande wa waongozaji yupo Neema Ndempayo na John K kutoka nchini Australia ambaye pia ni mmoja wa wahusika katika filamu hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahahaaaa...nimecheka kwa kweli, eti kivumishi