Walishawahi kuunganisha vikojoleo vyao hao?
Wametokelezea
Mkuu umejaribu ku google,?Walishawahi kuunganisha vikojoleo vyao hao?
Mmh kipindi hicho boxer ilikuwa ni beach tu. Watu walikuwa wanavaa chupi tuDuh!
Mengine ni siri ya bikini na boxer mkuu.
Enzi hizo akina Bill Gate, Buffet W na Carlos Slim hawajaitwa mabilionea wa dunia bado..
Walishawahi kuunganisha vikojoleo vyao hao?
hapo Nick Cannon bado anakuojolea pampas....
Hapo tunamuona Will Smith (19yrs) na Mariah Carey (18yrs)..... Ilikuwa mwaka 1988. View attachment 259899
Mmh sawa.Fresh prince of bel air..
Wewe uko vizuri kwa kuotea.Hawa yaonyesha walishakojoleana....
Sure...Awsome....
Hahaha ila watu wengne wana bahat sana ase...yaan kampata maria kiulain wakat eminem alisugua soli kimkuzis demu mitaa ya brooklyn akaambulia kiss tu tena sio ya mate ni ile ya lips..so dissapointing