Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Niliulizwa 'why periodization is important?' nikajibu 'periodization is important because of the following reasons' >hapo ni form one
 
mi nilikuwa napenda komborera ili kademu fulani nikagonge. Nilikuwa najinoma kweli. Hivi nao ulikuwa ujinga eti eeh?
 
nlkua nadhan watoto wachanga wananunuliwa hosptal, mwanamke mja mzto et n kwamba amevmbiwa. Loh, ukila mbegu za ma2nda mti utaota kchwan. Hahah, n ujnga ujnga ujnga
 
Nilikuwa nadhani honi ya gari inatoka kwenye taa za gari, afu nilikuwa nadhani ili gari inakwenda kasi zaidi kutokana na jinsi unavyonyonga usukani,
 
me zamani nilikuwa najua mwanamke mjamzito anajifungua mtoto thru Anus en not virgina.
Tulikuwa tukibshana sana na frnd angu about ths issue.
KWELI UTOTO MZIGO WA CHUMA!
 
sitakaa nisahau enzi hizo utoto akili yote ilijaa mapicha/movie, kwenye pepa moja kulikua na maswali ya kuandika kinyume mf, nene-nyembamba, kuna swali tukaambiwa kinyume cha adui nikajibu stelingi.

mie kinyume cha mwanaume nikawataja wavulana wote class
hivyohivyo kwa mwanamke loo
 
Ilikuwa nikipita Kariakoo, nikiona matangazo ya waganga wa mitishamba. "Dawa za kuongeza nguvu za kiume". Nilikuwa najisemea moyoni wenzangu wakinichokoza nitakuja kununua zile dawa, na nitawadunda kinoma. e bwana daaah sikujua kama sio nguvu hizo
 
mi nilikuwa siwezi kabisa kutumia vyoo vya kukaa, mzigo ulikuwa hautoki.
ilinibidi nipande juu then nichuchumae ndo mzigo ushuke, kasheshe lilikuja siku ya kwanza nilipo flash mzigo ile kuona maji yanatoka kwa presha nikajua nimeharibu choo cha watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom