zamani mpaka siku hizi

Safi sana na huyu nimemkubali yaani nafasi zote zina mkubali bila shida
 
Hivi ni kujitahidi kumantain mwili au mwili wake hauna shukrani? Ametakata na kupendeza ila mwili wake uko vile vile. Kweli ametoka mbali.....Hongera Joti una kipaji kizuri.
 
Huyo kijana mi namuona ndio commedian amabye fani imo kwenye damu,halazimishi unajikuta umecheka automatically
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…