Kabla ya USB, kabla ya kupakua Windows moja kwa moja mtandaoni… tulikuwa tunatembea na CD ya Windows mkononi.
Ukihitaji kusakinisha mfumo, CD ikiingia kwenye kompyuta, ndipo safari inaanza. 😅💻
Na ukiona imeandikwa Windows XP kwenye hiyo CD, ujue ulikuwa umejipanga! 😂🔥
Enzi zimebadilika...