Zama za kuunga bando za kawaida zinaisha, Wi-fi na fiber zinachukua nafasi kutokana na faida zake lukuki!

Zama za kuunga bando za kawaida zinaisha, Wi-fi na fiber zinachukua nafasi kutokana na faida zake lukuki!

ZOYA internet

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
202
Reaction score
384
Maisha yanabadilika kila kukicha na biashara ra mitandao zinabadilika pia, hii ni kutokana na watu kutafuta kilichobora zaidi. Kwa siku za hivi karibuni watu wamegundua kua kuunga bando kila siku kwaajili ya kuingia mtandaoni inakua haisaidii kama ambavyo ingemsaidia mtu mwenye wifi au fiber.

KUNA FAIDA KUBWA SANA KUWA NA WI-FI ROUTER AU BANDO UNLIMITED!

1. KUOKOA GHARAMA ZA BANDO. Ukiwa na WI-FI router au ukinunua bando unlimited unaokoa sana hela japo wengi wanahisi kua ni cost kubwa ila si kweli. Nataka tufanye hesabu kiufupi. Unakuta mtu kwa siku anamaliza GB1 ambayo inauzwa 2100 hivyo kwa mwezi atakua ametumia 63000 mtu mmoja, tena hapo ni kwa kujibana hawi kuru kufanya chochote anachotaka mtandaoni, angechukua WI-FI wangechangia watu wengi. Hata kama ofisini au kwenye biashara yako na majirani labda mko watu wa 10 mtakua wote mnatumia bando bila kikomo na ukirudi nyumbani wewe na majirani wote mnatumia bando bila kikomo, hapo ukiwaambia wote wachangie hata hela kiasi utajikuta wewe kwa mwezi umetoa hata 10000 tu.

2. KUKUZA BIASHARA YAKO. Ukweli usiopingika ni kua biashara saivi imehamia mtandaoni kama bado hujahamia anza leo ku post na kutafuta wateja wa bidhaa zako mtandaoni utaona matokeo ya biashara yako kukua ndani ya mda mfupi sana. So ukiwa na bando la uhakika unaweza fanya mambo mengi kukuza biashara yako bila kuogopa kua bando litaisha.

3. WIFI ROUTER YENYEWE INAWEZA KUKUINGIZIA KIPATO KAMA BIASHARA INAYOJITEGEMEA. Kama upo eneo lenye watu wengi-wengi mfano chuoni au kama una stationary unaweza ukawawekea watu wi-fi then wakalipia. Watapenda huduma hii zaidi mana itawasaidia kuokoa gharama ya bando, mfano bando za kawaida mtu akitoa 1000 anapewa MB 490 tu. Sasa wewe mwambie mtu atoe 1500 atumie bando la wi-fi kutwa nzima huyu mtu hawezi kukataa. Ukiwapata watu wa hivyo 10 tu kwa siku basi kwa mwezi utakua na laki 4 na nusu, ukitoa hela ya kulipia bando 100k unabakiwa na laki 3 na kitu ya faida, hapo nimepigia cost ya chini kabisa, ila unaweza weka bei ya juu kidogo na ukapata faida kubwa zaid. ukihitaji router kwaajili ya biashara hii nitakuelekeza jinsi ya ku control mtu asielipia asiweze kuunganisha hata kama akipewa password ya wifi na wenzake.

Hizi ni faida chache tuu kati ya nyingi ila ukweli ni kua wajanja saivi wanahama kutoka kwenye kutumia bando la kununua GB moja moja wanaenda kwenye kutumia wi-fi router!

KWA MAHITAJI YA ROUTER NZURI ZENYE UBORA NA BEI NZURI, Wasiliana na mimi nitakupatia router ambayo hautajutia kuinunua,router ambayo bando lake halipunguzi speed baada ya mda flani kwenye mwez, router yenye speed kubwaa, inayosambaza wifi eneo kubwa, ikiwa na bando unlimited ambalo malipo ya kila mwezi ni nafuu na unalipia kidogo kidogo, wi-fi router ambayo haiishii katikiti ya mwezi , na kwa bei rafiki mno!
KAMA UNAHITAJI LAINI PEKEYAKE IWEZESHWE BANDO UNLIMITED UTUMIE KWENYE ROUTER YAKO AMBAYO UNAYO TAYARI AU HATA UTUMIE KAWAIDA KWENYE SIM TU INAWEZEKANA.

MAWASILIANO: 0717700921
 
Attachments

  • IMG-20250525-WA0003.jpg
    IMG-20250525-WA0003.jpg
    29.5 KB · Views: 32
router yenye speed kubwaa, inayosambaza wifi eneo kubwa, ikiwa na bando unlimited ambalo malipo ya kila mwezi ni nafuu na unalipia kidogo kidogo, wi-fi router ambayo haiishii katikiti ya mwezi , na kwa bei rafiki mno!
Mkuu! Wewe ni provider au agent?
 
Router bei gani na bundle bei gani
BEI NI LAKI MBILI NA NUSU. unapewa router pamoja na bando unlimited kwa miezi miwili bila kulipia baada ya hapo unalipia kila mwezi laki moja. Kuna advantage kubwa ya kuchukua router ninazokueleza siku ukijua hatakama hutachukua router kwangu ila itakusaidia kufanya uchaguzi sahihi wa kua ni router gani ununue.
Nicheki 0717700921
 
Una uhakika gani kwamba speed itakuwa haipungui wala kukatika katika?
Kabla ya kujua uhakika gani nadhani ingekua muhimu sana ufaham kwanza ni kitu gani kinasababisha speed za router kupungua au kifaa kushindwa kufanya kazi vizuri katikati ya mwezi.

UKWELI WATU WENGI WASIOUJUA, ni kua mitandao yote ya simu inapokuuzia router, wanakupa laini yenye bando unlimited with limited speed. Namaanisha bando linakua haliishi ila kuna kiasi cha Gb cha kutumia kwa speed kubwa then kikiisha unakua bado una access ya internet ila kwa speed ndogo sana. Hiyo wanaiita BEHIND au CAP.

Sasa hizo gb za kutumia kwa speed kubwa kila mtandao umeziweka kwa utaratibu wake. Kuna ambao wanakupa idadi ya gb kutumika kwa speed kubwa kwa siku (daily), na kuna wanaokupa kwa mwezi (monthly). Ikitokea umechagua mtandao unaokupa hizo gb kwa mwezi basi hapo ndipo tatizo linapoanzia, ila ukichagua mtandao unaotoa GBs kwa siku hapo utafrahia internet bila shida yoyote mwezi mzima.

Kwanini GB behind kwa mwezi inakua mbaya? Najua utakua umeshajiuliza swali hili tayari. Majibu ni haya hapa, nikupe mfano kama umepewa GB 120 au GB 500 uzitumie kwa mwezi (hii ni uhalisia kuna mtandao fulani unatoa hivyo) Basi ujue ndani ya mwezi zikiisha hizo gb utakua una access ya internet ila kwa speed ndogo sana kitu kinachoweza kukufanya hata uamue kuenda kujiunga bando la kawaida tu. Na kumaliza gb 120 au gb 500 kwa mtu mwenye wi-fi ni chap tu, huwezi kumaliza nazo mwezi, unaweza kukuta hata kati ya tarehe 17-24 zishakata. ukitumia wi-fi data zinatumika zaid kwasababu vifaa vingi vinaji update na ku update ma file apps nk.

Kwanini wanaokupa GB kwa siku ni bora zaidi? Hii ni kutokana na kua hata kama gb unazopewa behind zikiisha utakua na mda mfupi wa kutumia internet kwa speed ndogo then siku nyingine ikianza unapata gb za kutumia kwa speed kubwa!
Mfano mtandao ambao ninau-recomend hapa unatoa gb 75 kwa siku. Hata matumizi yenu yawe makubwa, ila mpaka mmalize gb 75 ndani ya siku moja mtakua mmefanya kazi kweli kweli. Na hata mkimaliza hizo gb utakuta mda ushaenda sana labda ni saa nne au saa 5 usiku. Mda ambao kumebaki lisaa limoja tu ifike saa sita usiku, siku nyingine ianze na gb 75 za kutumia kwa speed kubwa zianze kufanya kazi.

So hiyo ndio sababu ya kukuhakikishia wifi haitasumbua katikati ya mwezi. Ikiwa unataka ku proof zaid naweza kukupa huduma kwa mda mfupi utest uone mwenyewe(nakupa laini yangu ya wi-fi through kui swap unaipata ndani ya dakika 2 tu unaanza kuitumia)
Ikiwa unahitaji ufafanuzi zaid ya hapo nicheki 0717700921
 
Darasa murua Sanaa

Hakika Jf ni kisima Cha MAARIFA.
 
Nahitaji kuunganisha SIM card yangu na Unlimited internet, WIFI device ninayo.

Gharama ni Tsh ngapi?
 
Ni mifano ipi ya mitandao inayotoa Gb kwa siku na inayo toa GB kwa mwez tuifahamu
Niliwahi kutaja mitandao humu nikashaangaa niko restricted
Nicheki kwa no 0717700921
nitakuelekeza
Nb. Sio lazima uchukue kwangu ila mm nitakuelekeza ufaham kilicho bora
 
Back
Top Bottom