Zama Hizooooo

Zama Hizooooo

Chunguza vizuri hiyo sio picha ya zamani labda fashion ndio ya zamani...kwenye hiyo nguzo kuna matangazo ya nguvu za kiume.
It was intended for funny .... heading isikusumbue sana boss [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Chunguza vizuri hiyo sio picha ya zamani labda fashion ndio ya zamani...kwenye hiyo nguzo kuna matangazo ya nguvu za kiume.
Hata fashion pia sio ya zamani.
Huo mshono bilashaka ni kwa mujibu wa mvaaji
 
Back
Top Bottom