Mleta maada kadanganya hii picha sio ya enzi hizo chunguza vizuriyaani suruali hadi kifuani maajabu hayo! ni overall amevaa
siku hizi ni mwendo wa modo na skin jeans kwa watoto wa kike..........japokuwa kuna wanaume feki wanatupia skin jeans....Nataman sana kumuona kijana wa karne hii katika mavaz hayo
Nadhani hapa baada ya miaka kadhaa mbele itakua fasheni