Zakaria bus: Barabara ya Tarime - Mwanza kainunua?

Zakaria bus: Barabara ya Tarime - Mwanza kainunua?

Jambo Tz

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
670
Reaction score
203
Nafika jiji LA Mwanza kituo cha mabasi Buzuruga nakutana na mabasi yalio nakshiwa na rangi ya sisiemu ni mazuri kwa ukweli na yanazingatia muda levo siti

Twenzetu kwenye mada kituoni hapo Kuna basi zaidi ya kumi za zakaria barabarani sasa zinapishana kwa nususaa nikabaki na duaa kuelekea Sirari

maswali yakanijia kichwani kama jamaa Barbara ya Tarime Mwanza Zakaria kainunua?
nasikia yuko fiti
 
Njia iyo, zakaria ndo kampuni inayopendwa sana kuliko kampuni zingine ni kutokana na wanavyo mind time.
 
Peter Zakaria - Mzee wa kugawa ngumi, vitasa, na fimbo kwa yeyote anayeingia anga zake. Kuna visa vingi sana vya kuchekesha vya mzee huyo.
 
Nilisikia habari ya haya magari, yanaogofya kidogo
 
Ni bahati tu kwamba ameweza kuji-establish zaidi kwenye hiyo route. Na kutokana na kuwa na magari mengi na uzoefu wa muda mrefu wa hiyo route automatically ame-creat entry barrier for new entrants just because is operating under economies of scale na alisha-break even siku nyingi sana. Ni kama ABOOD na route ya Dar Morogoro, au UPENDO na route ya Dar Iringa, au ZUBERI na route ya Dar Mwanza.

Ili uweze kushindana na hao watu kwenye hizo route unahitaji uvumilivu wa changamoto nyingi ikiwa ni pamoja na kukubali kupeleka gari likiwa mswaki kwa kipindi kirefu kwa sababu ya kutokuwa na jina. Hii ndiyo inayopelekea washindani wapya kushindwa kushindana nao, lakini hii haina maana kwamba hawezi kuwapunguzia market share yao. BM ya Dar Morogoro amejitahidi na is now comming to take over the ABOOD market share. Kama ABOOD akiendelea na seat zake za 3x2 na akashindwa kuingiza gari mpya basi after 5 years he will be thrown away from the marekt by BM.
 
Nafika jiji LA Mwanza kituo cha mabasi Buzuruga nakutana na mabasi yalio nakshiwa na rangi ya sisiemu ni mazuri kwa ukweli na yanazingatia muda levo siti

Twenzetu kwenye mada kituoni hapo Kuna basi zaidi ya kumi za zakaria barabarani sasa zinapishana kwa nususaa nikabaki na duaa kuelekea Sirari

maswali yakanijia kichwani kama jamaa Barbara ya Tarime Mwanza Zakaria kainunua?
nasikia yuko fiti

Kuna mzee wa BATCO BUS ameuza zile za zamani anataka kuweka zingine mpya barabarani na tayari ameishanunua matano na bado anaendelea kuzikusanya kwanza. dipo zianze kazi. Hii BATCO BUS ndio tishio kwa ZACHARIAH siku zote.
 
Peter Zakaria - Mzee wa kugawa ngumi, vitasa, na fimbo kwa yeyote anayeingia anga zake. Kuna visa vingi sana vya kuchekesha vya mzee huyo.

Moja ya story yake itakuwa hii nilio ipata jinsi alivyo
kijana wake wa kazi alikatazwa kumkaribisha mtu yeyote iwe kusimama ama kukaa kijana akamkaribisha Mzee wa makamo kiti zakaria alivyo muona yule mzee kakaa kijana akakatwa 2000/=
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom