Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
Tunatafuta wajasiriamali wa kununuwa na kusambaza Zainab's Natural Super Clay.
Ukitaka kujuwa Zainab's Natural Super Clay ni nini, pitia hapa: Kwa Wanaume na Wanawake: Udongo (natural) Unaolainisha ngozi sasa unapatikana
Mjasiriamali Tutampa bidhaa kwa bei ya jumla, yeye atauza kwa bei ya reja reja na faida ni yake.
Kwa wale ambao hawatakuwa na kianzio, tutawapa mtaji. Mtaji ni bidhaa, wakauze warudishe bei ya kununulia wabaki na faida yao mpaka watakapoweza kunua wenyewe. Ambayo si muda mrefu, ndani ya wiki mbili unakuwa tayari na mtaji wako na hata chini ya hapo.
Picha mbili, barua ya Serikali ya mtaa na wadhamini wawili kwa watakaohitaji mtaji.
Hatuajiri kwa mshahara tunahitaji vijana wanaoweza kujituma na kujianzishia ajira yao wenyewe.
Awe na uwezo wa kujifunza Zainab's natural Super Clay inavyotumika na kuweza kufanya majaribio kwa vitendo.
Piga 0769302206 (Zainab) au 0756803528 (Abdul) au Whatsapp 0689771331 au email: zainabtamimtz@gmail.com au pm hapa hapa JF.
Unaweza kutuuuliza chochote hapa hapa. Karibuni.
Tunawatakia mafanikio mema.
Asante.
Zainab