ZAIN Vipi mbona mtandao wenu unasuasua? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ZAIN Vipi mbona mtandao wenu unasuasua?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by chibingo, Aug 16, 2010.

 1. c

  chibingo Member

  #1
  Aug 16, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 45
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Ningependa kujuakuna nini kimetokea Zain? toka jana mtandao umekuwa ni wa kusuasua, hakuna mawasiliano kabisa, hasa kanda ya ziwa. Nyie watu wa Zain kwani nini msiwaeleze wananchi kuna tatizo gani limetokea na litachukua muda gani kumaliza? kuweni professional wakati mwingine
  Nawasilisha.
   
 2. m

  matambo JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  simmhameeeee?????

  karibuni tigo mtandao unaokupa
   
Loading...