Zain Unlimited Data Bundle, swali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zain Unlimited Data Bundle, swali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kang, Dec 19, 2008.

 1. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #1
  Dec 19, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Nina flyer ya mtandao wa Zain kuna unlimited data Bundle 100,000/= Lakini kuna fine print "fair usage will apply" kuna mtu ametumia hii service anaweza kutuambia kama ni unlimited au limit yake ni ngapi?
   
 2. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #2
  Dec 19, 2008
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unlimited has no fair; no condition; no what!!!! Hapa kuna kitu obvious kinafichwa; thats Bongo Telecoms business; esp kwa kuwa watu nao hawajui sana kuhusu hilo basi shida watu wanaumia bila kujua
   
 3. Gosheni

  Gosheni Senior Member

  #3
  Dec 19, 2008
  Joined: Oct 28, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  Leo mimi nilikuwa nafuatilia kwenye ofisi zao, kwa hiyo bando, wao wana 3G, ambayo waliniambia ni sawa na 3GB, bahati mbaya nimesahau spidi yake ni ngapi, kwa upande wa Zantel wanafanya 129tshs/mb kwa mahesabu yangu ya haraka nikaona zain ni nafuu kuliko zantel kulinganisha na vodacom 200tshs/mb. Hiyo 3GB kuimaliza kwa matumizi ya kawaida sio rahisi ila kwa kudownload movies haichukui round, kwa namna fulani hiyo slogan ipo sahihi na upande mwingine siyo sahihi
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 19, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu Goshen hao Zain wanfanya kiasi gani kwa mb?
  Na speed yao vipi kwa hiyo 3G.
   
 5. Gosheni

  Gosheni Senior Member

  #5
  Dec 19, 2008
  Joined: Oct 28, 2008
  Messages: 189
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 60
  wana bei tofauti kulingana na bundle unayotaka, ila hiyo ya 3GB unalipia 100000 kwa mwezi, ikiisha itabidi kuingia kwenye malipo ya kawaida, nimesahau kuhusu speed, vilevile bei sikuangalia kwa sababu zilikuwa kwenye bundle ambazo mimi sikuzihitaji
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Dec 19, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Zain:
  Pay as you go 396/- per Mb
  100Mb Bundle 26,400/- yaani 264/- per Mb
  500Mb Bundle 66,000/- yaani 132/- per Mb
  Unlimited Bundle 100,000/- * "Fair usage will apply" ???? Hapa ndo swali maana hiyo Unlimited sijui inamaanisha nini?!
   
 7. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #7
  Dec 19, 2008
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu Goshen Bongo internet bado bei mchapo sana tena balaa sasa hiyo laki moja kwa mwezi duh maumivu.Nimekuta China wao unalipia $120 kwa mwaka kwetu hapa hiyo ni mwezi kweli maumivu.
   
 8. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #8
  Dec 19, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  3G ni standard ya spidi sio GB ngapi kwa mwezi, tatizo kuna range kubwa sana ambayo iko considered 3G.
   
 9. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #9
  Dec 19, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Infrastructure mbovu bongo, tunatumia satellite kutuma data nje ya nchi, lakini kuna fiber optic cable inatakiwa ianze operation next year so hopefully mambo yatakua mpeto soon!
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Dec 27, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,123
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Update: Nilinunua mtambo wa Zantel ambao ndo wanaonekana cheapest per Mb. Mtambo 95,000 mabao ni kama simu ya landline ila wireless. kadi ya 45,000 imenilast kama wiki, ni 120Tsh/Mb, hii ni pamoja na kuzima picha na flash, balaa kweli.
  Pia nimeona kuna kampuni ya BOL wanadai wanatoa unlimited internet BENSON INFORMATICS LTD kwa 60,000 a month, so hiyo ndo dili bora kama unatumia net kwa zaidi ya email.
   
 11. M

  Mama JF-Expert Member

  #11
  Dec 27, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Vipi servises za hao Benson, wasije kuwa cheap with poor services.
   
Loading...