Zain na Vodacom Turiani-Rekebisheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zain na Vodacom Turiani-Rekebisheni

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MIGNON, Sep 15, 2010.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Nimekuwa nikifika katika hospitali ya Turiani mara kwa mara na kwa kweli mawasiliano ya Zain na Vodacom hayaridhishi kabisa.
  Ni vigumu kupata internet na simu inakatika sana.Eneo hili lina mzunguko mkubwa wa pesa kutokana na shughuli za kilimo cha miwa na mpunga na naamini Zain na Vodacom hawatapata hasara kwa kuboresha huduma zao.
   
Loading...