Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema

Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,741
Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema mamia ya watu waliuawa. Haya ni kwa mujibu wa wakili mmoja Peter Kibatala na vyanzo vya mahakama vilivyoliarifu shirika la habari la AFP.

Hapo jana, Kibatala aliiambia AFP kwamba mamia ya watu walifikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam.
Idadi ya watu 250 waliowajumuisha wake kwa waume, walishtakiwa kwa kesi tatu tofauti na wote kukabiliwa na mashtaka mawili tofauti.

Shtaka la kwanza ni njama ya kufanya uhaini na la pili ni uhaini wenyewe chanzo.DW Kiswahili

 
Back
Top Bottom