PreGE2025 Zaidi ya Wanachama 100 wa Chadema Wajiunga na CCM Arusha

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Wanachama zaidi ya mia moja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutoka kata za Engutoto na Lemara Jijini Arusha, wamepokelewa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo unaofanyika leo kwenye Viwanja vya soko kuu Jijini Arusha.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Akizungumza kwaniaba ya wawakilishi hao waliopanda jukwaani kuwakilisha wengine waliokihama Chama Cha Chadema, Aliyekuwa Katibu wa Baraza la Wazee kata ya Lemara, amewaambia wananchi wa Arusha Mjini kuwa aliyewaondoa Chadema ni Mhe. Mrisho Gambo, kutokana na kazi kubwa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyoshuhudiwa ndani ya miaka mitano ya Uwakilishi wa Mbunge huyo kwenye Bunge la Tanzania pamoja na usimamizi wake wa karibu wa miradi mbalimbali ya maendeleo Jijini Arusha.
See translation

Uongo mtupu watu wa chuga mnawajua au mnawasikia? Chuga hakuna ma fala
 
Gambo anajisahisha 😂 anatumia mbinu za kitoto
 
Back
Top Bottom