H Hauxtable JF-Expert Member Nov 5, 2007 386 17 Mar 29, 2008 #21 Hussein Abdallah said: Zaidi ya wabunge 100 wa CCM hawauziki - Msabah Click to expand... Msaada kidogo jamani; Huyu 'Msabaha' ni yule Kondoo wa sadaka Au ni Salum Msabah??
Hussein Abdallah said: Zaidi ya wabunge 100 wa CCM hawauziki - Msabah Click to expand... Msaada kidogo jamani; Huyu 'Msabaha' ni yule Kondoo wa sadaka Au ni Salum Msabah??
M Major JF-Expert Member Dec 20, 2007 1,865 2,440 Mar 30, 2008 #23 nziku said: List iendelee mimi namjua Mzee Jackson Makweta (ninawahakikishia kama atagombea 2010 Upinzani utashinda hata bila kampeni). Click to expand... najua wako wengi akina msindai majimbo yao yanatia aibu kwa umasikini na hii inamaanisha hawana mbinu na ni mzigo kwa ccm lakini eti mwenyewe kanenepeana anashindwa hadi kutembea kwa ulafi this is the end
nziku said: List iendelee mimi namjua Mzee Jackson Makweta (ninawahakikishia kama atagombea 2010 Upinzani utashinda hata bila kampeni). Click to expand... najua wako wengi akina msindai majimbo yao yanatia aibu kwa umasikini na hii inamaanisha hawana mbinu na ni mzigo kwa ccm lakini eti mwenyewe kanenepeana anashindwa hadi kutembea kwa ulafi this is the end
Lunyungu JF-Expert Member Aug 7, 2006 8,873 1,894 Mar 30, 2008 #24 hauxtable said: Msaada kidogo jamani; Huyu 'Msabaha' ni yule Kondoo wa sadaka Au ni Salum Msabah?? Click to expand... Msabah Salum
hauxtable said: Msaada kidogo jamani; Huyu 'Msabaha' ni yule Kondoo wa sadaka Au ni Salum Msabah?? Click to expand... Msabah Salum