Zaidi ya Shilingi Bilioni 44.5 za Michango ya COVID-19 zimeliwa?

Sawa...... Nilihoji haya mambo lkn serikali imekataa kunipa majibu.
Kumbe kuna dola 27mil walipewa na umoja wa ulaya na zenyewe wametumia kuhonga wasanii kipindi cha kampeni.... Hawa EU hawapo kwenye orodha yangu ya. waaliochangia corona Tanzania
Ndio matatizo ya serikali kuficha data walishindwa kufuata maagizo ya shirika la WHO kupambana na ugojwa sasa ndio mana mabeberu wanashindwa kuelewa pesa zimetumikaje kama data zilikuwa zinafichwa na kusema hatuna wagojwa
 
Nashauri hao wengine wote niliowaorodhesha wadai pesa zao zirudishwe...... Hii serikali dharimu haihitaji kupewa hata shilingi...
Hata wasipopewa hao wenye madaraka hawaumii maana wana uhakika wa maisha.

Ila raia ndio watakaotaabika.
 
Hao jamaa wakipiga pini tutaruhusiwa kununua dawa na bidhaa muhimu tu kutoka huko kwa mabeberu. Unajua beberu akikohoa hata mchina anaingia chini ya meza. Tutavaa midabwada
 
Naleta kwenu wakuu, tujiulize pamoja lakini tuitake serikali itoe mrejesho wa hizi pesa zimeenda wapi hasa?

Nakumbuka watz walichanga maafa ya Kagera lakini serikali haikuwajibika vya kutosha na hili likabki kua doa lisilofutika miongoni mwa watz..
Asante sana mkuu, nakuuliza hapa unahoji nini specifically. Vilihitaji tuwe wepesi kuazia.
 
Mdhungu kawaka huko hatari... Anasisitiza money from European taxpayer.... Naona tutazitapika...
 
Leo mmeumbuka!
Nimeamini uelewa wenu ni mdogo sana. Yaani majadiliano ya kamati ya bunge la EU tena just mjumbe mmoja wa kamati ameuliza pesa walitoa kwa Tanzania imekuwa kama ni resolution ya bunge la EU which is not the case! Na viongozi wa EU wameshamjibu. There is no big issue there! Lakini nyumb wameona ni issue kubwa wakati huyo mjumbe ni sawa tu na akina Sugu walivyokuwa wakitoa upupu wao kwenye bunge la TZ.
 
Ihihihihihihiiiiii unatia huruma sana , suo mbaya ila hii ndio kazi ya dekio
 
Back
Top Bottom