FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,824
- 46,943
Tangazo linatolewa kwa udhamini wa Wizara ya afya, means wameyalipiaKwani Covid-19 ni mali ya serikali, ngo au private sector mpaka matangazo yake yalipiwe?
Tangazo linatolewa kwa udhamini wa Wizara ya afya, means wameyalipiaKwani Covid-19 ni mali ya serikali, ngo au private sector mpaka matangazo yake yalipiwe?
Wanaweka matangazo mengine yanayolipiwa kwenye ile time slot ya tangazoKwani bila Covid-19 wanalipaje mishahara?
Kwa kuweka kipindi cha njia pandaWanarudishaje fadhira kwa umma?
Ndivyo ilivyo kwa covid19Not necessary....
Huu utawala nahisi ndo ule wa kusadikikaMtikila alisema CCM ni kama nzige. Wanakula na kunya hapohapo. Hawashibi hata siku moja. Hizo hela ndio zinamzungusha Magufuli na wezi wenzie kwenye kampeni. Jumapili utamwona kanisani ameinamisha kichwa kwa padri. Unafiki mkubwa sana.
Haikupewa ccm wala serikali yake ya kifisadi bali.. Walipewa wahanga km ilivofanyika kagera..Tunafanyia kampeni tulipewa Ccm hizi hela nyie chadema haziwahusu
Sent from my itel W5504 using JamiiForums mobile app
Maendeleo yana chama lkn udikteta hauna chama.... Watz wote kwa umoja wao wamepigwa na wanaisima namba isipokua chatoHela walupewa serikali,, na serikali Ni ya ccm Sasa mlitaka hizo hela tuwape chadema,,, nyie mbona mlikula hela 2015 baada ya kumuuzia chama lowasa, zile pesa zote alikula mbowe na wachaga wenzake[emoji23]
The power of dictatorships comes from the willing obedience of the PEOPLE they govern and if the PEOPLE can develop techniques of withholding their consent, a repressive regime will soon crumble.Hela walupewa serikali,, na serikali Ni ya ccm Sasa mlitaka hizo hela tuwape chadema,,, nyie mbona mlikula hela 2015 baada ya kumuuzia chama lowasa, zile pesa zote alikula mbowe na wachaga wenzake[emoji23]
Utawala wa kihuni km huu wa magufuli na ccm ni rahisi sana kuuangusha.....The power of dictatorships comes from the willing obedience of the PEOPLE they govern and if the PEOPLE can develop techniques of withholding their consent, a repressive regime will soon crumble.
Tuungane sote tumng'oe CCM nduli na beberu wa nchi hiiTundu Lissu tusaidie, pesa zimekusanywa mikononi mwa watanzania na madhirika yao hatima yake mzunguko wa fedha mitaani na biashara umekuwa zero. Wanataka tena wapewe awamu ya pili miaka mitano? Hali sio Hali watakao kosea Oct,watambue imekula kwao mazima.
Wahanga hawakupewa hela zimetafunwa na Ccm na serikali yakeHaikupewa ccm wala serikali yake ya kifisadi bali.. Walipewa wahanga km ilivofanyika kagera..
Matangazo kwenye vyombo vya habari juu ya Covid-19 huwa yanalipiwa kwa pesa ipi unadhani?
Kila kiingiacho mdomoni kwa mamba kinasagwa na kubaki makapi na ungaunga ambao hutoka kama kinyesi. Sumu ya mamba ni kali sana na huyeyusha karibu kila kiingiacho tumboni mwake. Hakika Hawa ni mamba.Wana kula bila kuacha mfupa hawa ni mamba