Zaidi ya Shilingi Bilioni 44.5 za Michango ya COVID-19 zimeliwa?

Naleta kwenu wakuu, tujiulize pamoja lakini tuitake serikali itoe mrejesho wa hizi pesa zimeenda wapi hasa?
Nakumbuka watz walichanga maafa ya Kagera lakini serikali haikuwajibika vya kutosha na hili likabki kua doa lisilofutika miongoni mwa watz.
Wengine wanahisi kuwa inawezekana zimetumika kenye kampeni ndio hizo wananchi wanagawiwa 5,000 hasa wale wanaosombwa kutoka maeneo tofauti na inapofanyikia mikutano ya ccm.
Hapa chini nimeweka baadhi ya watu, makampuni na taasisi za ndani na nje zilizojikamua kutoa michango hiyo.....Nimeambiwa washiriki kwenye michango walikua zaidi ya 15 mbali na hawa niliowaorodhesha hapa chini...

APRIL 8, 2020: On 8th April 2020, Civil Society Organizations (CSOs) combined forces to support Government initiatives in the fight against the Covid-19 outbreak in Tanzania. Collectively the CSOs raised over TZS79 million. The funds were handed over to the National Relief Fund through the Prime Minister’s Office. The CSOs that contributed the funds are Foundation for Civil Society (FCS), Legal Services Facility, (LSF), Women Fund Tanzania Trust, Save the Children, African Philanthropy Network (APN), Wajibu Institute, Twaweza, Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) and Children’s Dignity Forum. This was a show of solidarity from the various CSOs, demonstrating that they too can come together to respond to the crisis that has hit the country.

APRIL 8,2020: Dar es Salaam, Tanzania – Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick’s chief operating officer for its Africa and Middle East region, Willem Jacobs, said in addition to measures already introduced to protect workers and their families living and around its mines, the company was contributing $1.7 million equivalent to Tsh 3,9bil in the form of critical equipment and expertise to help prevent the spread of the virus in Tanzania.

APRILI 9, 2020: Wadau mbalimbali wa Tanzania wamechangia vifaa vya matibabu, vifaa vya kiteknolojia na fedha taslim vyenye thamani ya karibu dola za kimarekani milioni 2.7 ili kuisaidia nchi hiyo kupambana na virusi vya Corona. Hii ni takribani sh Bil. 6.2. Baada ya kupokea michango hiyo waziri mkuu wa Tanzania Bw. Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watanzania kufanya kazi kwa pamoja na kwa juhudi zaidi ili kudhibiti virusi vya Corona. Taarifa inayotolewa na ofisi ya waziri mkuu imetaja kuwa kampuni ya Huawei ya China imechangia vifaa vya mikutano ya video.

APRILI 14, 2020: Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amepokea hundi ya mfano ya Mil.500 kutoka kampuni ya Export Trading Group (ETG) zikiwa ni msaada kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaotokana na maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19) nchini. Waziri Mkuu amepokea msaada huo Jumanne, Aprili 14, 2020) ofisini kwake Mlimwa, Jijini Dodoma, kutoka kwa Mkurugenzi mkazi wa ETG, Bw. Nilladri Chowdhury aliyefuatana na maafisa uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Frank Mtui na Bi. Fatma Salum Ally. Akizungumza mara baada ya kupokea kupokea msaada huo, Waziri Mkuu amewashukuru watendaji wa kampuni ya ETG kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya virusi vya corona, ambapo hadi sasa kesi 49 zimeripotiwa tangu kuanza kwa ugonjwa huo nchini na wagonjwa saba wameshapona.

APRILI 24, 2020: Na. Andrew Chimesela, Morogoro. Wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wafanyabiashara Mkoani Morogoro wameanza kutekeleza ahadi zao za kutoa michango ya fedha na vifaa ili kusaidia kupambana na ugonjwa wa CORONA kama walivyoahidi Aprili 21 mwaka huu waliposhiriki kikao cha kujadili namna ya kupambana na ugonjwa huo Mkoani humo.. Wadau hao wameanza kutekeleza ahadi hiyo leo Aprili 24 kama walivyoahidi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare siku ya kikao cha Aprili 21 mwaka huu na leo baadhi ya wadau hao wamefika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kutoa fedha na vifaa mbalimbali vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi Mil.140.

MAY 10,2020: Shell Exploration and Production Tanzania Ltd and partner Pavilion Energy were part of the country’s national efforts and support the Government of Tanzania’s response to the novel coronavirus (COVID-19). We joined hands with other stakeholders across the country to contribute the urgently needed medical supplies (specifically personal protective equipment [PPEs] for the country’s frontline workers) worth 380mil. Shell and Pavilion recognize the efforts made by healthcare workers, nurses and doctors across the country. Commenting on the donation, Mr. Frederik Grootendorst, Managing Director and Country Chair of Shell in Tanzania said, “We commend the steps and efforts taken to date by the Government of Tanzania and wanted to express our continued support in the fight against COVID-19.”

MEI 4,2020: Tanzania: Wadau Wachangia Mil.150 Kupambana na COVID-19. Mhe. Jenista Mhagama amepokea msaada wenye thamani ya sh. milioni 150 zilizotolewa na kampuni tatu zinazozalisha nguzo za umeme nchini kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi Virusi vya Corona, COVID- 19. Michango hiyo imetolewa na kampuni Mufindi Woodpoles Plant and Timber Ltd, Qwihaya General Enterprises Co. Ltd na Poles (T) Ltd ambapo kila kampuni imetoa sh. milioni 50.

JUNE 10, 2020: IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust. The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3 million over the next 4 months, and potentially up to US$25.7 million over the next 23 months. IMF debt service relief will help free up resources for public sector health needs and other emergency spending, as well as mitigate the balance of payments shock resulting from the pandemic.

JULY 13, 2020 by Tanzanian Diaspora in USA, Organizer. MKUTANO WA MREJESHO WA KAMPENI. Salam friends, Tunatarajia tumekufikia ukiwa na afya njema. Tunapenda kukujulisha kwamba, kupitia msaada wako, tumekamilisha ukabidhi wa misaada Tanzania. Karibu upate mrejesho kutoka kamati ya kampeni, mafanikio na mafundisho, asante na salamu kutoka kwa viongozi wa afya mikoani. Hawa walifanikiwa kuraise jumla ya $31,024 ikiwa ni takribani Mil.72

Nina hakika serikali inapitia sana humu kwa hiyo itawajibika kwa watz kwa kutoa ukweli kuhusu swala hili.

NAWASILISHA!!!

Wasiojulikana bado wapona wanafanya kazi. Kuwa makini na hii serikali.Kama waliweza kudhulumu pesa za wananchi wake waliopata misiba,
matetemeko nk, zitakuwa hizo zilizoingizwa kwenye account?
 
Kila kiingiacho mdomoni kwa mamba kinasagwa na kubaki makapi na ungaunga ambao hutoka kama kinyesi. Sumu ya mamba ni kali sana na huyeyusha karibu kila kiingiacho tumboni mwake. Hakika Hawa ni mamba.
Mafisadi na mabeberu wa nchi hii magufuli na ccm yake...... Usiri mkubwa umegubika manunuzi na kandarasi kubwa kubwa nchini....... Ikulu ndo remote control ya kila kitu....... 🤔🤔
 
Wasiojulikana bado wapona wanafanya kazi. Kuwa makini na hii serikali.Kama waliweza kudhulumu pesa za wananchi wake waliopata misiba,
matetemeko nk, zitakuwa hizo zilizoingizwa kwenye account?
Hawashindwi hawa magwiji wa ufisadi...... Tumsaidie Tundu Lissu kupiga kelele kwa nguvu zaidi ikiwezekana tuchukue hatua kali zaidi kwa nguvu ya umma.... 😒😒
 
Naleta kwenu wakuu, tujiulize pamoja lakini tuitake serikali itoe mrejesho wa hizi pesa zimeenda wapi hasa?

Nakumbuka watz walichanga maafa ya Kagera lakini serikali haikuwajibika vya kutosha na hili likabki kua doa lisilofutika miongoni mwa watz.

Wengine wanahisi kuwa inawezekana zimetumika kenye kampeni ndio hizo wananchi wanagawiwa 5,000 hasa wale wanaosombwa kutoka maeneo tofauti na inapofanyikia mikutano ya CCM.

Hapa chini nimeweka baadhi ya watu, makampuni na taasisi za ndani na nje zilizojikamua kutoa michango hiyo.....Nimeambiwa washiriki kwenye michango walikua zaidi ya 15 mbali na hawa niliowaorodhesha hapa chini...

APRIL 8, 2020: On 8th April 2020, Civil Society Organizations (CSOs) combined forces to support Government initiatives in the fight against the Covid-19 outbreak in Tanzania. Collectively the CSOs raised over TZS79 million. The funds were handed over to the National Relief Fund through the Prime Minister’s Office. The CSOs that contributed the funds are Foundation for Civil Society (FCS), Legal Services Facility, (LSF), Women Fund Tanzania Trust, Save the Children, African Philanthropy Network (APN), Wajibu Institute, Twaweza, Tanzania Women Lawyers Association (TAWLA) and Children’s Dignity Forum. This was a show of solidarity from the various CSOs, demonstrating that they too can come together to respond to the crisis that has hit the country.

APRIL 8,2020: Dar es Salaam, Tanzania – Twiga Minerals Corporation, a joint venture between Barrick Gold Corporation (NYSE:GOLD) (TSX:ABX) and the Tanzanian government, has announced a support program to assist the country in combating and containing the Covid-19 pandemic. Barrick’s chief operating officer for its Africa and Middle East region, Willem Jacobs, said in addition to measures already introduced to protect workers and their families living and around its mines, the company was contributing $1.7 million equivalent to Tsh 3,9bil in the form of critical equipment and expertise to help prevent the spread of the virus in Tanzania.

APRILI 9, 2020: Wadau mbalimbali wa Tanzania wamechangia vifaa vya matibabu, vifaa vya kiteknolojia na fedha taslim vyenye thamani ya karibu dola za kimarekani milioni 2.7 ili kuisaidia nchi hiyo kupambana na virusi vya Corona. Hii ni takribani sh Bil. 6.2. Baada ya kupokea michango hiyo waziri mkuu wa Tanzania Bw. Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watanzania kufanya kazi kwa pamoja na kwa juhudi zaidi ili kudhibiti virusi vya Corona. Taarifa inayotolewa na ofisi ya waziri mkuu imetaja kuwa kampuni ya Huawei ya China imechangia vifaa vya mikutano ya video.

APRILI 14, 2020: Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amepokea hundi ya mfano ya Mil.500 kutoka kampuni ya Export Trading Group (ETG) zikiwa ni msaada kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa ya mapafu unaotokana na maambukizi ya Virusi vya Corona (COVID-19) nchini. Waziri Mkuu amepokea msaada huo Jumanne, Aprili 14, 2020) ofisini kwake Mlimwa, Jijini Dodoma, kutoka kwa Mkurugenzi mkazi wa ETG, Bw. Nilladri Chowdhury aliyefuatana na maafisa uhusiano wa kampuni hiyo, Bw. Frank Mtui na Bi. Fatma Salum Ally. Akizungumza mara baada ya kupokea kupokea msaada huo, Waziri Mkuu amewashukuru watendaji wa kampuni ya ETG kwa kuunga mkono juhudi za Serikali katika mapambano dhidi ya virusi vya corona, ambapo hadi sasa kesi 49 zimeripotiwa tangu kuanza kwa ugonjwa huo nchini na wagonjwa saba wameshapona.

APRILI 24, 2020: Na. Andrew Chimesela, Morogoro. Wadau mbalimbali wa maendeleo wakiwemo wafanyabiashara Mkoani Morogoro wameanza kutekeleza ahadi zao za kutoa michango ya fedha na vifaa ili kusaidia kupambana na ugonjwa wa CORONA kama walivyoahidi Aprili 21 mwaka huu waliposhiriki kikao cha kujadili namna ya kupambana na ugonjwa huo Mkoani humo.. Wadau hao wameanza kutekeleza ahadi hiyo leo Aprili 24 kama walivyoahidi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare siku ya kikao cha Aprili 21 mwaka huu na leo baadhi ya wadau hao wamefika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kutoa fedha na vifaa mbalimbali vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi Mil.140.

MAY 10,2020: Shell Exploration and Production Tanzania Ltd and partner Pavilion Energy were part of the country’s national efforts and support the Government of Tanzania’s response to the novel coronavirus (COVID-19). We joined hands with other stakeholders across the country to contribute the urgently needed medical supplies (specifically personal protective equipment [PPEs] for the country’s frontline workers) worth 380mil. Shell and Pavilion recognize the efforts made by healthcare workers, nurses and doctors across the country. Commenting on the donation, Mr. Frederik Grootendorst, Managing Director and Country Chair of Shell in Tanzania said, “We commend the steps and efforts taken to date by the Government of Tanzania and wanted to express our continued support in the fight against COVID-19.”

MEI 4,2020: Tanzania: Wadau Wachangia Mil.150 Kupambana na COVID-19. Mhe. Jenista Mhagama amepokea msaada wenye thamani ya sh. milioni 150 zilizotolewa na kampuni tatu zinazozalisha nguzo za umeme nchini kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi Virusi vya Corona, COVID- 19. Michango hiyo imetolewa na kampuni Mufindi Woodpoles Plant and Timber Ltd, Qwihaya General Enterprises Co. Ltd na Poles (T) Ltd ambapo kila kampuni imetoa sh. milioni 50.

JUNE 10, 2020: IMF Executive Board Approves $14.3 Million Debt Relief to the United Republic of Tanzania Under the Catastrophe Containment and Relief Trust. The IMF Executive Board approved debt relief under the Catastrophe Containment and Relief Trust to provide US$14.3 million over the next 4 months, and potentially up to US$25.7 million over the next 23 months. IMF debt service relief will help free up resources for public sector health needs and other emergency spending, as well as mitigate the balance of payments shock resulting from the pandemic.

JULY 13, 2020 by Tanzanian Diaspora in USA, Organizer. MKUTANO WA MREJESHO WA KAMPENI. Salam friends, Tunatarajia tumekufikia ukiwa na afya njema. Tunapenda kukujulisha kwamba, kupitia msaada wako, tumekamilisha ukabidhi wa misaada Tanzania. Karibu upate mrejesho kutoka kamati ya kampeni, mafanikio na mafundisho, asante na salamu kutoka kwa viongozi wa afya mikoani. Hawa walifanikiwa kuraise jumla ya $31,024 ikiwa ni takribani Mil.72

Nina hakika serikali inapitia sana humu kwa hiyo itawajibika kwa watz kwa kutoa ukweli kuhusu swala hili.

NAWASILISHA!!!
Duu mkuu usinikumbushe mshikaji wangu alikuwa kwenye kambi ya korona pale Amana.kama kuna kitu analaani ni kuzulumiwa zile posho za Corona.Hawakulipwa hata senti tano mpaka wamefunga kambi.

na Anadai watumishi wengi wa afya wana madai mengi sana kiasi kipindi hiki cha baada ya JK maisha yao yamekuwa magumu mno.maana wanatishwa saana.Yaani ukidai haki yako unatishiwa sana utafikiri uko kwenye utawala wa Idi Amin
 
Malofa katika ubora wenu
 
Hela walupewa serikali,, na serikali Ni ya ccm Sasa mlitaka hizo hela tuwape chadema,,, nyie mbona mlikula hela 2015 baada ya kumuuzia chama lowasa, zile pesa zote alikula mbowe na wachaga wenzake[emoji23]
Na wewe unapata buku 7, Bashiru akutoe tu kwenye paylist maana kuna hoja
 
Kahangaike na Saccos ya Chadema Faru John amekula pesa zote zilizochangwa na wabunge wake!!
 
Duu mkuu usinikumbushe mshikaji wangu alikuwa kwenye kambi ya korona pale Amana.kama kuna kitu analaani ni kuzulumiwa zile posho za Corona.Hawakulipwa hata senti tano mpaka wamefunga kambi.

na Anadai watumishi wengi wa afya wana madai mengi sana kiasi kipindi hiki cha baada ya JK maisha yao yamekuwa magumu mno.maana wanatishwa saana.Yaani ukidai haki yako unatishiwa sana utafikiri uko kwenye utawala wa Idi Amin
Zipo kwenye mgao kwenye kampeni za ccm......mwambie asifanye makosa awape adhabu kali magufuli na ccm pale October 28 mwambie ahamasishe na ndugu zake wote
 
Kahangaike na Saccos ya Chadema Faru John amekula pesa zote zilizochangwa na wabunge wake!!
Km amekuka hela zenu mkamateni ndio maana tumewapa serikali......

Yaani badala ya kutekeleza sheria na nyie mnalalamika...... Ndio maana tunasema mafisadi ccm sasa baaasssss.......
 
Fatu John vipi mbona hamujamuuliza pesa walizochanga wabunge wenu? Naona mnamwogopa sana!
Km amekuka hela zenu mkamateni ndio maana tumewapa serikali......

Yaani badala ya kutekeleza sheria na nyie mnalalamika...... Ndio maana tunasema mafisadi ccm sasa baaasssss.......
 
Naleta kwenu wakuu, tujiulize pamoja lakini tuitake serikali itoe mrejesho wa hizi pesa zimeenda wapi hasa?
...
Nina hakika serikali inapitia sana humu kwa hiyo itawajibika kwa watz kwa kutoa ukweli kuhusu swala hili.

NAWASILISHA!!!

Yaani wewe, na viongozi wote unaonukuu hoja zao za tuhuma dhidi ya Serikali, mkimlenga Rais Magufuli, mna matatizo ya kifikra. Nasema hivyo kwa kuwa mnashindwa kusafisha na kukijenga chama kutoka kuwa SACCOS kuwa chama cha siasa.

Tuhuma uliyoitaja, pamoja na nyingine nyingi kama zipo, ni wajibu wa Mkaguzi Mkuu wa Serikali, mwenye mamlaka na madaraka, Kikatiba, watumishi wenye sifa na weredi wa kufanya ukaguzi. Hufanya ukaguzi huo na kuandaa ripoti ambayo hujadiliwa na Bunge (lenye wawakilishi wetu) na kutolewa maamuzi ya nini kifanyike.

Msijifiche kwenye kichaka cha "tuhuma hewa" kufanikisha agenda za kisiasa.
 
Ccm ni saccoss ya chato mkuu..... Huoni mtu mmoja ndo anaamua kila kitu. Nani agombee wapi hata rais wa zanzibar ni mwemyekiti wa saccoss yenu anaamua.....
Huko hampanui midomo yenu hata kidogo kumkosoa mungu wenu wa chato......

Tunataka accountability ya matrillioni ya watz acha uzwazwa wa kuokoteza
 
Nilitegemea hoja zangu zijibiwe kumbe unakubali na kutambua kuwa kuna chama chama siasa kinaendeshwa kama SACCOS!
 
Ulitaka hoja zijibiweje? Hoja kuu ya uzi huu hujajibu hata moja na ww ndo mwenye serikali sasa unaakili sawa wewe......
Haya jibu hii hoja ya ccm saccoss ya chato kwenye attachment
 
Attachments

  • 2524353_Screenshot_20200920-103006_Chrome.jpg
    2524353_Screenshot_20200920-103006_Chrome.jpg
    94.7 KB · Views: 16
Back
Top Bottom