Zaidi ya magari 150 Msafara wa Rais Samia

Acheni habari za uongo jamani. Mambo mengine mnayakuza bila sababu
Unabisha wakati kuna Uzi upo humu na mbona ilitrend sana hiyo taarifa labda uwe ni uzushi ila ilisemwa sana hii ishu.
 
Hawezi kujickia chochote hapo zaid na yeye msafara upite aendelee kuzikwanyua buku mbili mbili zake akajilalie zake nyumban.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…