Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge.
Ni Mama wa Vitendo ,ni Mama anayetimiza anachoahidi na...
Leo huyu Samia alikuwa anatokea sijui huko kanda ya Kaskazini kurudi Dar basi imekuwa kero, kwanza wametusimamisha zaidi ya dakika 50 hadi yeye anapita, cha ajabu sasa mtu alishida kwa kura Milioni 32 ameongezewa ulinzi mkali zaidi
Tulizoe kuona magari tu sasa hivi hadi Helicopter mbili...
Wakuu amani ya Bwana ikiwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake.
Andiko hili litakua fupi sana.
Hesabu huwa haidanganyi ,
Kumekua na propaganda nyingi za kusifia mikutano ya mwenyekiti wa ccm kwamba mikutano yake inakua na nyomi(watu wengi) lengo ni kuadaa watu kwamba mwenyekiti wa ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.