Zaidi ya magari 150 Msafara wa Rais Samia

Zaidi ya magari 150 Msafara wa Rais Samia

Hilo ndilo analoliweza na si kuona Tanzania yenye hali nzuri.
 
Huu ni msafara wa rais na wakuu wa mikoa na wilaya au ni nini hiki!
Wakuu wa mikoa na wilaya madaraka yao huishia kwenye wilaya na mikoa yao, sasa wanaingia kwenye wilaya na mikoa isiyo yao kufanya nini? Hapa naomba nielimishwe, tuseme rais anatoka Dar kwenda Dodoma anaanza na mkuu wa wilaya ya Ilala na mkuu wa mkoa wa Dar, huyu wa Ilala anaishia Ilala hapo anaungana na wa Ubungo naye haingii Kibaha ambapo mkuu wa mkoa wa Dar haingii. Labda huwa wakuu wote hata wa Kigoma , Kagera, Tanganyika wanakuja Dar kumsindikiza kwenda Dodoma!
Pia tujikumbushe msafara wa Makonda uliopata ajali na kusababisha hasara ambayo hakuilipa, magari yaliyohusika ni ya serikali wakati yeye hakuwa mtumishi wa serikali!
 
Endeleeni kuhesabia magari
Sisi tunasema
KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
OCTOBER TUNATIKI
 
Back
Top Bottom