Zaidi ya askari 4,000 wasambazwa mtaani kulinda amani ya Tanzania

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.

Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.

Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.

Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu

1760101753179.png
 
View attachment 3486639
Mnachezeaa pesa tuuu acheni ufisadii....acheni kuuza rasilimali za nchi....wakuu wenu wamenunuliwa mnachezea nchi kikundi watu wavhache mnatumia nguvu kuuubwaa mnakimbia kivuli chenu..m..tuachenii mnatuchezea akili ...1bil kila mkuu wa chombo usalama wengine 500mil .....mnatufanya wajinga ?? Jinai haina ukomo akija rais mzalendo tutanyonga vizazi.vyenu......
 
Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.

Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.

Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.

Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu

View attachment 3486639
Vijana milioni 10 tu wakijitokeza: 10,000,000 gawa kwa 4000 = 2500. Kila askari mmoja vijana 2500! Hata kupumua hataweza. Bado.... kwenye hao askari 4000, robo ttu yao wako na wananchi.
 
Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.

Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.

Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.

Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu

View attachment 3486639
Panic mode
 
Ila kusambaza gesi majumbani issue? Au kutuletea libraries kila kata ni gharama? Labda hata miundo mbinu mitaani, vijijini nk nk ni shida? Yawezekana hata usafiri wa wanafunzi shule za kata haiwezekani sababu hamna hela ila chukuwachakomapema wanazo?
Mbona mambo muhimu kwa raia yawa shida ila kwenye swala la uchaguzi kuwe na amani na utulivu inakuwa rahisi kwa chukuwachakomapema?!
 
Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.

Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.

Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.

Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu

View attachment 3486639
Hivi nchi hii ina askari milioni ngapi vile?
 
Kata ya kiwalani peke yake ina wakaazi elfu 12.
Some international organizations suggest ratios like 1 officer per 400-500 citizens, or about 225 officers per 100,000 people, but experts caution that such numbers are not universally applicable and are poor substitutes for strategic staffing decisions. For example, cities with high transient populations or higher crime rates will require more officers than smaller, more stable communities.

Hii ni kwa mujibu wa akili mnemba!
 
29 October nipate kama hii niwaonyeshe show

Hao askari hawaoni hali ya maisha ilivo ngumu huku kitaa?, au wao wanamaisha mazuri kuliko sisi huko wanakoishi.
 
Jeshi la Polisi Tanzania limeimarisha maandalizi ya kuhakikisha amani na usalama kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, likionya dhidi ya uchochezi, uzushi na usambazaji wa taarifa zisizo sahihi kwenye mitandao ya kijamii.

Msemaji wa Jeshi hilo, DCP David Misime, amesema zaidi ya askari 4,000 wamesambazwa Tanzania Bara na Zanzibar kutoa elimu juu ya matumizi sahihi ya mitandao na kulinda amani ya wananchi.

Amesisitiza kuwa wazazi na walezi wanapaswa kuwaelimisha vijana kuheshimu sheria na kuepuka kushiriki vitendo vya uchochezi mtandaoni.

Soma pia: Askari wa jeshi la akiba (Mgambo)watakiwa kulinda amani kuelekea uchaguzi mkuu

View attachment 3486639
Askari 4000 🤣🤣🤣🤣 alafu humu ndani wanasema hawa watu wanaweza kutuzuia
 
Back
Top Bottom