Naomba nikusahihishe mkuu, alikuwa Rainfred Masako na siyo Paschal MayallaHapo mzee unanikumbushia wakati ule yule mtangazaji wa ITV sijui ni Pascal Mayala vile wakati akielezea tukio lile alichomekea " Wakazi wa kijiji hicho wenye madumu, ndoo, masufuria mpaka vijiko walikimbilia kujichotea mafuta ya bure
"
kabla hawajaungua baada ya moto kulipuka baada ya mshenzi mmoja kutaka kuiba betri la lile lori na kusababisha cheche zilizosababisha moto ule