Zaeni mapema acheni ubishoo


Duuuh!! Miaka 35 una watoto nane!!
Hlf kila mmoja na mama ake,

Sasa hapo unatufundisha nini kwa mfano.
 


Hahaaaaa, mshauri wa uzazi!
Kwa akili yako hata kama life expectancy ya waTz ni miaka 52, kila mtu akifikia huo umri anakufa!!
Pili, kuzaa mapema ama la ni utashi wa mtu binafsi. Kama wewe ulizaa ukiwa na miaka 17 shukuru maana aina ya maisha na kiwango cha elimu ulichonacho vilikupatia hiyo nafasi.
Je wale wenye matatizo ya uzazi kiasi cha kuchelewa sana kupata watoto unawashauri nini?!
Tatu, elewa pia mtoto ni zawadi toka kwa Mungu na anakupa pale anapoona wakati unafaa!! (Kama ni muumini!)
 

Wewe mpaka sasa umezaa wangapi??? Inavyoonyesha upeo wako wa kufikiri ni mdogo. Unaweza ukazaa una miaka 20 na siku hiyo hiyo ukaondoka duniani,na mwenzio akazaa ana miaka 40,akaendelea kuwepo na akaona na wajukuu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…