Zaeni mapema acheni ubishoo

Hiyo nasaha yako ni nzuri ila inahitaji mazingira flani laasihivyo utaowa na zaidi ya 30years.
 
Mleta mada!......just another Fool.

Hayo ndiyo mawazo duni yanayosababisha umasikini na njaa kujaza watoto bila mpangilio msioweza kuwalisha...matokeo kupelekea kila siku viongozi wenu kutembeza vibakuli kwa wenzenu ulaya...kisa msaada.
Kweli umasikini wa muafrika ni uduni wa IQ.

Na mtazidi kuangamia kwa upumbavu wenu.
 
jje's vip wewe mwanao ulimzaa na miaka mingap?
 
Last edited by a moderator:
Sio lazma wote tuzae kunawatoto pia mtaani wanataka familia,,,stop being selfish
 

kuna watoto wa mtaani wanatafuta familia pia sio lazma wote tuzae
 
jje's vip wewe mwanao ulimzaa na miaka mingap?


yaani wewe Sumbai mbona mchokozi?

Hizi mambo zinatakiwa ziwe in close session bhana.
Paulo de Serge, huyu Sumbai anaelewa close session na open session kweli?

msaidie.
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe Sumbai mbona mchokozi?

Hizi mambo zinatakiwa ziwe in close session bhana.
Paulo de Serge, huyu Sumbai anaelewa close session na open session kweli?

msaidie.

Nisaidie wewe kwanza.....


Cc Paulo sergio de souz
 
Last edited by a moderator:
Mimi namshukuru mungu kwakweli mtoto wangu wa kwanza nimempata nikiwa na miaka19 sasahivi nina miaka35 inamana mtoto alizaliwa mwaka 1999 wa pili nilimpata mwaka2005 wa tatu mwaka 2006 anaitwa SEAN jumla nina watoto nane wengine sijawataja ila kila mtoto na mama ake namshukuru mungu sana
 

Huo ndio ujogoo sasa....19 yrs ulikuwa unajishughulisha na nini? Ulifanikiwa kumuhudumia mwanao? Au uliwaachia wakwe zako.?
 
dah tayari nina wawili Yasser na Christina hapa napigana ili kuwaandalia maisha safi ili wasijeteseka ingawa mama zao ni tofauti
 
Ila pamoja na kwamba mnavutana mleta mada kasema kaukweli kidogo.Kana maana ukitafakari ohooo!umri waenda ujue.
 
wamekuelewa na wamekusoma hapa mkuuu hata ukilaizima vipi mtu azae kama hajaamua hawezi thubutu
 
nashukuru mungu kwa umri wangu huu wa 30+,tayari nishatengeneza familia ya watoto watatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…