Mapema ni umri gani? Tuanze na wewe. Kwa mfano umeanza darasa la kwanza ukiwa na miaka 7, ukimaliza darasa la 7 unakuwa na 14. O level ukimaliza unakuwa na 18, A level ukimaliza unakuwa na 20. Ukienda jeshi unakuwa na 21. Chuo ukimaliza unakuwa na 24. Ukiianza kazi jumlisha mauhusiano miaka 3 unakuwa na 27. Hapo ujajumlisha kurudia au kufail.
Unazaaje hapo sasa.
Nyie igeni wazungu, fainali uzeeni.Huyu lazima ni form iv leaver na imani yake ni kuzaa kuijaza dunia haijarishi atasomaje sana sana wanae ni zile skuli zetu za kumuungisha mwalimu kwa kununua ubuyu halafu akimaliza darasa la saba olewa au tafta kazi mwenyewe uwe konda sawa uwe teja sawa uwe bar maid poa ili mradi tafta wajukuu umletee babu.Haya ni mawazo mfu kijana maisha ya babu zako sio ya sasa wala yajayo jiongeze kusoma nyakati
Huyu lazima ni form iv leaver na imani yake ni kuzaa kuijaza dunia haijarishi atasomaje sana sana wanae ni zile skuli zetu za kumuungisha mwalimu kwa kununua ubuyu halafu akimaliza darasa la saba olewa au tafta kazi mwenyewe uwe konda sawa uwe teja sawa uwe bar maid poa ili mradi tafta wajukuu umletee babu.Haya ni mawazo mfu kijana maisha ya babu zako sio ya sasa wala yajayo jiongeze kusoma nyakati
Mapema ni umri gani? Tuanze na wewe. Kwa mfano umeanza darasa la kwanza ukiwa na miaka 7, ukimaliza darasa la 7 unakuwa na 14. O level ukimaliza unakuwa na 18, A level ukimaliza unakuwa na 20. Ukienda jeshi unakuwa na 21. Chuo ukimaliza unakuwa na 24. Ukiianza kazi jumlisha mauhusiano miaka 3 unakuwa na 27. Hapo ujajumlisha kurudia au kufail.
Unazaaje hapo sasa.
Wewe kama umebaki kupiga punyeto kutwa nzima bora utulie,jamaa kaongea point tupu. Inatakiwa uzae hata ukiwa kidato cha nne kimagumashi. Mie nilipata mtoto nikiwa kidato cha tano tayari nikiwa na mke nyumbani. Tatizo la vijana wa sasa mkiangalia channel za Zuku hasa ile ya Zuku life mnatamani maisha ni hadi pale uwe na Vogue ama Ranger huku ukisahau nchi yako iko full madeni kuanzia A-O. Namshukuru mama alistukia mapema na kunitafutia familia safi nikaenda kuoa. Nachekelea tu muda wote hasa usiku. Mbaya zaidi ni pale utakapomaliza shule na kung'ang'ania uoe msomi mwenye ajira!!! Hilo ginyaginya ndani ya ndoa itakuwa nafuu hata ndoa ya Diamond na Wema kipindi hicho.
Duh! Kwahiyo unataka vijana wengine wa copy your life style as an example?
Huyu lazima ni form iv leaver na imani yake ni kuzaa kuijaza dunia haijarishi atasomaje sana sana wanae ni zile skuli zetu za kumuungisha mwalimu kwa kununua ubuyu halafu akimaliza darasa la saba olewa au tafta kazi mwenyewe uwe konda sawa uwe teja sawa uwe bar maid poa ili mradi tafta wajukuu umletee babu.Haya ni mawazo mfu kijana maisha ya babu zako sio ya sasa wala yajayo jiongeze kusoma nyakati
Unauliza jibu!!!? Hivi sasa ni saa 11:09alfajiri ngoja kwanza nilale Shem wako yuko robo tu takutafuta saa mbili asubuhi au ni pm tazikuta sms. sawa sawa?
Wewe kama umebaki kupiga punyeto kutwa nzima bora utulie,jamaa kaongea point tupu. Inatakiwa uzae hata ukiwa kidato cha nne kimagumashi. Mie nilipata mtoto nikiwa kidato cha tano tayari nikiwa na mke nyumbani. Tatizo la vijana wa sasa mkiangalia channel za Zuku hasa ile ya Zuku life mnatamani maisha ni hadi pale uwe na Vogue ama Ranger huku ukisahau nchi yako iko full madeni kuanzia A-O. Namshukuru mama alistukia mapema na kunitafutia familia safi nikaenda kuoa. Nachekelea tu muda wote hasa usiku. Mbaya zaidi ni pale utakapomaliza shule na kung'ang'ania uoe msomi mwenye ajira!!! Hilo ginyaginya ndani ya ndoa itakuwa nafuu hata ndoa ya Diamond na Wema kipindi hicho.
We kambagasa huna tofauti na jogoo. Jogoo nae ni baba, anazaa tena watoto wengi. Jogoo anatongoza, jogoo anahonga, Ila alei. Unawezaje kuwa baba wakati huwezi kununua hata nepi? Ulivyokuwa bw.ege unasema mama akakutafutia familia safi ukaenda kuoa! Yani umetafutiwa mke, umesaidiwa kulea watoto na mama yako. Utakuwaje na uchungu na mtoto wakati huna unachogharamia?
Baba gani asiyeweza kulea/kutunza watoto wake. Wewe mi m1 wao. Mwisho, kama ungekuwa mwanamke ungezaa ukiwa na umri gani?
Pole hayo ni masaa ya bongo. Dunia kubwa na masaa yanatofautiana usitumie reference ya experience yako ku generalize! PM for what! There is no any offense take it easy! Everybody has the right to live as he/she thinks is best for him/her not as you think!