GE2025 Zacharia Obadi: Maandamano ya Oktoba 29, 2025 ni msimamo wa Wananchi na siyo Chama

GE2025 Zacharia Obadi: Maandamano ya Oktoba 29, 2025 ni msimamo wa Wananchi na siyo Chama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Hawajaweka wazi na Zacharia Obadi, Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria anasema ni msimamo wa wananchi na siyo chama.

"Wimbo umekuwa ni huo tu No reforms No election na wengine wameenda mbali zaidi nakusema kwamba tarehe 29, october tunaandamana CHADEMA hatujajitokeza wazi wazi nakusema huo msimamo lakini wananchi wameshaasema tayari" Zacharia Obadi Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria
 
Back
Top Bottom