huku si kuanguka kwa benny hinn, kwani ye kapewa talaka au kapewa yeye na mkewe?
labda hapo sasa aombewe mwanamke, may be mamaa hapendezewi na huduma ya Mmewe ya kuupeleka ujumbe kwa mataifa ili yamjue huyu Yesu,
lakini pia ikumbukwe kuwa, Shetani akishindwa kote basi huvaa mwili ili kujaribu kumwangusa mtumishi wa Mungu, .....Yesu alipo mwambia Petro, nenda nyumba yangu Shetani......haikumaanisha kuwa Peto amekuwa shetani,bali alijua kuwa yale mawazo ya kulipinga andiko lisitimie ni ya Shetani maana ndiye mpingaji wa Kristo, Akamkemea kwa kumtaja jina kabisaa,
sasa hapa panahitaji hekima ya Kimungu kwa Benny Hinn na mkewe.