Zaama la Talaka laingia kwa wachungaji - Benny Hinn Apigwa Talaka na Mkewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zaama la Talaka laingia kwa wachungaji - Benny Hinn Apigwa Talaka na Mkewe

Discussion in 'International Forum' started by Shadow, Feb 26, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
  Entertainment by Linda Evans
  Benny Hinn's Divorce a Crushing Blow to Hinn Followers
  February 22nd, 2010  Benny Hinn's divorce a crushing blow to Hinn followers. Benny Hinn, the controversial yet extremely popular televangelist is getting a divorce. His wife, Suzanne Hinn, filed for divorce because of irreconcilable differences. According to various reports, the filings were a complete surprise to the evangelist, and he has also tried to mend their broken relationship.

  Read more about Benny Hinn's divorce here.

  Since publishing an article detailing the situation, Benny Hinn's supporters have expressed their non-judgmental views of the situation. There's also been an outpouring of prayers and dialog regarding the divorce.

  Reading peoples' comments and seeing how many are praying for the religious leader goes to show that he has been well loved for decades. Still yet, he has some critics who aren't big fans. Anyone who is famous has this type of tug-of-war.

  Here are two of the more supportive comments received following our initial reports on the Benny Hinn divorce:

  We need to pray for Pastor Benny.We all are not sure of what really happened between Pastor Benny and his loved wife Suzanne.let,s not rely on rumours.we need to pray for them.i have read several articles people saying Pastor Benny is unfaithful or is not a true man of God.We forget he is a human being even though he is a servant of God.challenges are to everyone wether you are a christian or not.infact instead of criticising him and talking all sorts of rubbish about him.we should remember the great work he has done in the kingdom.we rather pray for him, his marriage and ministry. – Dennis

  I say deal with our own plank in our own eye and let him deal with anything he has to without our judgment. It is between Pastor Hinn, Susanne, and God alone. We all have problems here on earth. Christians, even mighty men of God, are not immuned from attack or seasons of pain. Jesus is the only perfect man that ever walked this earth. We have no right to stand in judgment of others. He came to save us, not condemn us. He calls us as His children to do the same. I pray that the grace of God covers both of them and will bring them peace and His will be done in the end which is ALWAYS for our good. Pastor Benny's fruit will be judged by our Lord, not man. Our opinion is not relevant or accurate. – Mel

  What do you think? Do you have any strong feelings one way or another about Benny Hinn's divorce? Feel free to leave your positive or negative feedback below.

  source: http://cnmnewsnetwork.com/1868/benny-hinn%E2%80%99s-divorce-a-crushing-blow-to-hinn-followers/
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,331
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Usimcheke Mtumishi anapaanguka, muombee aisee
   
 3. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  sijacheka nimehabarisha. He needs our prayers though. I know for sure, ni kazi ya shetwani kutaka kumwangusha mtumishi.
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  huku si kuanguka kwa benny hinn, kwani ye kapewa talaka au kapewa yeye na mkewe?
  labda hapo sasa aombewe mwanamke, may be mamaa hapendezewi na huduma ya Mmewe ya kuupeleka ujumbe kwa mataifa ili yamjue huyu Yesu,
  lakini pia ikumbukwe kuwa, Shetani akishindwa kote basi huvaa mwili ili kujaribu kumwangusa mtumishi wa Mungu, .....Yesu alipo mwambia Petro, nenda nyumba yangu Shetani......haikumaanisha kuwa Peto amekuwa shetani,bali alijua kuwa yale mawazo ya kulipinga andiko lisitimie ni ya Shetani maana ndiye mpingaji wa Kristo, Akamkemea kwa kumtaja jina kabisaa,
  sasa hapa panahitaji hekima ya Kimungu kwa Benny Hinn na mkewe.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Feb 26, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,649
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Si tunasikia kuwa hawa jamaa uwa hawaachani?
   
 6. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #6
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Pole sana Pastor Benny Hinn maana mambo ya ndoa ni kitanzi kikubwa sana katika utumishi wa watu wengi
   
 7. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #7
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,935
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ni majaribu tu kama yaliyompata Yesu au Ayubu.Mungu atamshindia wakati huu anapita kwenye bonde la uvuli wa mauti(Zab 23)
   
 8. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #8
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,346
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Finger of God... hawa wachungaji wasiwadanganye aisee, they have too many skeletons in thi=eir closets, dont follow them blindly.
   
 9. Nicazius

  Nicazius Senior Member

  #9
  Feb 26, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  A Personal Message from My Family and Me

  Wakuu someni msg ya Pastor Benny Hinn kwa sisi tunayoiheshimu kazi yake, nina Imani haya yote yatapita kwa kukwazwa na kukwazika ni sehemu ya maisha ya kila binadamu, cha msingi omba Mungu asikupe mtihani mkubwa kuliko Imani yako.

  Bwana ampe Nguvu Pastor Benny Hinn, ambariki na kumchaja nguvu katika kipindi hiki yeye na familia yake, na kwa updane wa Suzanne anatakiwa kupiga magoti na kumuliza Mungu kama kweli huu ni mpango wa Mungu au shetani anamjaribu.

  BWANI AWABARIKI.
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,840
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni majaribu tu haya, kila mtu anapata ya kwake kulingana na imani yake. hsns immune kama alivyosema mmoja aliyecomment hapo, ni binadamu kama wengine.
   
 11. D

  Donrich Senior Member

  #11
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hayo ni mapito tu..is part of life.
   
 12. O

  Ohotaite Kintu Member

  #12
  Feb 26, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Benny Hinn anatakiwa kuombewa ili alishinde jaribu hili kubwa ila mkewe anatakiwa kuombewa kwa nguvu nyingi zaidi ili ajiulize mara mbili kama anakokwenda ndiko au la.
   
 13. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #13
  Feb 26, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,378
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  imeandikwa furahini mnapoangukia kwenye majaribu, maana ndipo mtakapouona ukuu wa Mungu mnayemtumikia. shetani huwa hachagui wa kumjaribu, ikiwa aliweza kumjaribu Hata muumba tutakuwa sisi wanadamu?
  Lakini tunaye mwenye kutushindia YESU KRISTO ambaye kwake, kila jambo huwa ni jepesi, hata yeye alijua hayo yatakuwa ni sehemu tu ya mapito, na ndiyo alisema .....duniani mnayo dhiki lakini jipeni moyo mtashinda,......
  Maana Mungu hujitukuza katika udhaifu wetu
   
 14. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #14
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,482
  Likes Received: 457
  Trophy Points: 180
  Wanawake huwa hawaeleweki!
   
 15. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #15
  Feb 26, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 368
  Trophy Points: 180
  Well nini hasa kimepelekea hii hali? any hints?
   
 16. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #16
  Feb 26, 2010
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Hata bwana wetu YESU alijaribiwa na mwovu shetani lakini akamshinda. Naamini hata mtumishi wa mungu atayashinda majaribu haya . Namwomba mungu aisimamie ndoa yao. Ameni
   
 17. m

  muhanga JF-Expert Member

  #17
  Feb 26, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  count shetwani out of this mess please...
   
 18. P

  Preacher JF-Expert Member

  #18
  Feb 26, 2010
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  count shetwani out of this mess please...
  mbona unamtetea shetani??? amekutuma au umeamua tu kumtetea??? Of course kuachana ni kazi za shetani - yeye kazi yake ni kuchinja, kuharibu, kuua - Hata hivyo naamini mtumishi huyu wa Mungu (Benny Hin) atasimama imara katika jaribu hili bila kumkosea Mungu na bila kutetereka kuifanya kazi ya Mungu aliyoitiwa. Katika kila jaribu Mungu ameweka mlango wa kutokea - let all believers pray for him - amen!!
   
 19. B

  Bull JF-Expert Member

  #19
  Feb 26, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mkuu; hizo Niporojo ambazo hawawezu kuzi practice, nakubaliana kabisa na sheria inayosema #Owaneni kwa wema na Muachane kwa wema#
   
 20. MNDEE

  MNDEE JF-Expert Member

  #20
  Feb 26, 2010
  Joined: Jul 10, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0

  Mkuu huyu jamaa nilishapoteza imani nae siku nyingi, kama utakumbuka miaka michache iliyopita zilitoka habari za ufujaji wa mali ikiwa ni pamoja na retreat na likizo za kifahari zilizoambatana na picha. Nionanvyo mimi huyu ni mtumishi wa mshahara tu hakuna zaidi!.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...