Za Noah zimeanza kugawiwa

hela za ujenzi wa choo cha shule Mapimbi nyinyi.
 
Ngosha anaangalia nani wa kumgawia!!! Huyu Mzee hajui karibia watizii wote wanashida!!!! Hii tabia ya Mzee itawafanya watz siku Moja wapange foleni magogoni ili wapewe chao!!!!!
Ama kweli hakuna kilevi kama madaraka!!!!!!
"Aaah Bastola ya nini tena jamani!!!!
CC: Mzee Tupatupa - Kibiti kwa sasa!!!
 
Mimi mwenyewe nikisikia anaenda chato nitajitega kwa road
 
Ukisema tu ..."Wastahili kuhimidiwa ewe uliyetukuka" paap elfu 50

Ukiinama kifudi fudi...paap laki 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…