Za leo leo!!

Za leo leo!!

hahah pengine ni mshikaji wako aliyepigwa ban sasa kavaa nguo nyingine...

Hata mimi nimehisi hivyo hivyo maana hii ID sijawahi kuiona kabisa.
Sasa mtu kama huyo anatakiwa atume PM kimyakimya.
 
attachment.php
 
Container,inazngua pswd cjaingia muda,nmetumia hii ya zamani

Ohooo, basi sawa! Ila ungeweka ile avatar yako ya enzi zile ukiwa primary na washkaji zako bwana maana hii hadi naogopa!
 
Ohooo, basi sawa! Ila ungeweka ile avatar yako ya enzi zile ukiwa primary na washkaji zako bwana maana hii hadi naogopa!
Nshakua buraza men sasa hii,nasajiliwa simba msimu.huu kama zlatan
 
Kuna siku maajabu yatashangaa vituko vya binadamu
 
Hahahaaa,usisahau tu kuniambia jina lako nione madudu yako utakayokua unayafanya!
Njoo mazoezini utamwona mchezaju mrefu kuliko wote zlatan.....
Tutaonana kwenye uzi wa sports hapa si mahala pake😀
 
Njoo mazoezini utamwona mchezaju mrefu kuliko wote zlatan.....
Tutaonana kwenye uzi wa sports hapa si mahala pake😀

:thumbup::thumbup: Rumye
 
Last edited by a moderator:
Kweli zito ni mutu wa watu yuko tayari kumfuata drv kusaini kadi yake. Hakika aungwe mkono
 
Kwa mwendo huu ndio maana ajali zinaongezeka!

Hahahaaa,kweli aisee.Mimi pia mwanzo nilitaka kusema je kama hilo basi lingepata ajali baada ya kukabidhiana kadi ingekuwaje?
Tena anamkabidhi dereva kabisa!
 
Hahahaaa,kweli aisee.Mimi pia mwanzo nilitaka kusema je kama hilo basi lingepata ajali baada ya kukabidhiana kadi ingekuwaje?
Tena anamkabidhi dereva kabisa!

Wee acha tu, nna njaa zangu ila naichukia sana siasa. Inakufanya uwe na uwezo wa kuwaambia watu chumvi ni tamu hata kama wewe mwenyewe unajua fika uhalisia hauko hivyo!
 
Mzalendo Zitto Kabwe fanya kampeni za nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji
 
Back
Top Bottom