Za Lameck zinahesabika?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,527
Reaction score
870,081
Hapa kuna tofauti mbili kwenye lugha adhimu ya kiswahili
1. Za mwizi ni 40..❗ Hii ni taarifa❗
2.Zako zinahesabika..❗ Hii ni tahadhari❗

Haya mawili.. Taarifa na tahadhari havinaga mwisho mwema❗

Unapochokwa kwasababu zozote zile.. Kama kikomo cha faida yao kwao.. Ama kuingilia yasiyokuhusu❗ Ama kuota mapembe❗
Unaweza kutengenezewa utaratibu wa kutolewa kwenye circle❗

Huo utaratibu unaweza kuwa mnyoofu ama uliojaa mbigili na moja tu ikikuchoma waja wanaanua Tanga❗Maisha yanasonga

Nice kama vile huyu amekuwa kwenye mstari mwekundu(danger zone)❗Tangu yule aliponyakuliwa
Umbea na radio mbao za hapa na pale vinasema ameshanusurika (off targets) zisizopungua 2❗

Hii mpya ni comeback ya kinyumembele na wake up call kwamba bado tuko na wewe! ❗❕
Jitoe kwa hiari ama kaza fuvu tulipasue.❗

Eti wanasema kenge hawezi kusikia mpaka damu imtoke masikioni.❗Hawa hawakutoi damu tuu.. Watakutoa na sifongo❗🤷🏿‍♂🙌🏿
Anyway sisi acha tuendelee kunywa mtori, nyama tutazikuta chini.. lakini kwa hali ilivyo December mbali❗
Your browser is not able to display this video.
 
Mshana Jr unataka kuniambia ile video ni yeye kweli? Sio Ai?.. if so kama ni yeye basi huyo changudoa atakuwa ni mtu wa system au yupo kwenye payroll yao ili kumchafua asee
Kwenye dunia ya ujasusi.. Kitengo kina taarifa kamili za kila mhusika
Hobby zako
Matamanio yako
Udhaifu wako..nknk!
Kupitia faili lako ni rahisi mno kukutengeneza watakavyo🙌🏿🤔

Kama wewe ni mgonjwa wa chuchu mwiba unalengeshwa hukohuko.. Ukimaliza kunona dakika 20 nyingi.. Unaachwa unavuruga kimoko baada ya hapo unavurugikiwa❗🙌🏿😂 Unaweza kupigwa mpaka finga na usijue🤔🤣
 
Hii ndiyo Shida ya kukubali, kama jamii, kujiongoza nje ya mfumo rasmi (wasiojulikana). Hawa wasiojulikana huwa na nguvu ambazo wakati mwengine zinawazidi hata wakubwa wanaodhani wapo salama hivyo kuwashughulikia wao pia.
 
Mambo ya honey trap hayo...sema nini lolote tu liwakute .. sio kwa majivuno waliyonayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…