KIM JOHN UN
JF-Expert Member
- Nov 10, 2017
- 744
- 1,072
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mchanga wa madini almaarufu kama MAKINIKIA kwa lugha yetu penda ambayo yalipelekea kuundwa kwa kamati kuu mbili ya kwanza ikiongozwa na Prof Muruma iliyo reveal kwamba kule ndani ya makontena yale kuna madini mengi sana na kamati ya pili ikiongozwa na Prof Nehemia Ossoro iliyokuwa imejikita katika ku justify economic impact ya madini yaliyokuwa yanachimbwa tokea mwaka 1998 na kuonesha kuwa ACACIA waliibia SIRIKALI kiasi cha pesa za kitanzania kisichopungua Sh 492,000,000,000,000/= yameyeyuka kimya kimya na yamechukuliwa na watu wasiojulikana kwenda pasipojulikana.
SWALI FIKIRISHI
1.Je sirikali imeamua kuwakabidhi ACACIA mzigo wao baada ya kuona negotiations processes ili tuende kwenye win-win zimeshindikana?
2.Je Sirikali imeamua kuwapa ACACIA mzigo wao ili kuepuka zahma zinazokuja kutokea mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya biashara za kimataifa?
3.Ripoti zilizoletwa na kamati zote mbili zilikuwa za kuwahadaa wananchi?
4.Je sirikali imeamua ku ya realize madini yale kwa hiyo imefanya uamuzi wa kuyachukua na kuyapeleka kwenye vinu vya wachina ili kuyachenjua?
UKIWA KAMA MZALENDO MWENYE UCHUNGU NA KODI YAKO ILIYOTUMIKA KUUNDA NA KULIPA ALLOWANCE MBALIMBALI KWENYE KAMATI ZOTE MBILI NJOO HAPA TUSEMEZANE ASEMA BWANA WA MAJESHI.
KIM JOHN UN (BANDARI MBALIMBALI ZA TANZANIA YALIPOKUWEPO MAKINIKIA YA ACACIA)
ILA KWA SASA NIKO MARA