Za kunyapia nyapia: Mchanga wa madini uliozuliwa mwaka jana pale bandarini waondolewa kimya kimya

KIM JOHN UN

JF-Expert Member
Nov 10, 2017
744
1,072
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mchanga wa madini almaarufu kama MAKINIKIA kwa lugha yetu penda ambayo yalipelekea kuundwa kwa kamati kuu mbili ya kwanza ikiongozwa na Prof Muruma iliyo reveal kwamba kule ndani ya makontena yale kuna madini mengi sana na kamati ya pili ikiongozwa na Prof Nehemia Ossoro iliyokuwa imejikita katika ku justify economic impact ya madini yaliyokuwa yanachimbwa tokea mwaka 1998 na kuonesha kuwa ACACIA waliibia SIRIKALI kiasi cha pesa za kitanzania kisichopungua Sh 492,000,000,000,000/= yameyeyuka kimya kimya na yamechukuliwa na watu wasiojulikana kwenda pasipojulikana.

SWALI FIKIRISHI
1.Je sirikali imeamua kuwakabidhi ACACIA mzigo wao baada ya kuona negotiations processes ili tuende kwenye win-win zimeshindikana?
2.Je Sirikali imeamua kuwapa ACACIA mzigo wao ili kuepuka zahma zinazokuja kutokea mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya biashara za kimataifa?
3.Ripoti zilizoletwa na kamati zote mbili zilikuwa za kuwahadaa wananchi?
4.Je sirikali imeamua ku ya realize madini yale kwa hiyo imefanya uamuzi wa kuyachukua na kuyapeleka kwenye vinu vya wachina ili kuyachenjua?

UKIWA KAMA MZALENDO MWENYE UCHUNGU NA KODI YAKO ILIYOTUMIKA KUUNDA NA KULIPA ALLOWANCE MBALIMBALI KWENYE KAMATI ZOTE MBILI NJOO HAPA TUSEMEZANE ASEMA BWANA WA MAJESHI.

KIM JOHN UN (BANDARI MBALIMBALI ZA TANZANIA YALIPOKUWEPO MAKINIKIA YA ACACIA)
ILA KWA SASA NIKO MARA
 
Kwani aliyesema ni poropeserio rabishi alidunguliwa kwa manufaa gani?waliona huyu ndo anawafunua waliolala akili so tumnyamazishe huyu na wengine wataufyata..nani mwingine umemsikia akiita oress kuulizia makinikia?je unawasikia tena wanalumumba wakishangilia uzalendo wa kichaa kwenye madongo?je unasikia story zozote zinazohusu udongo?sasa hivi habari ya mjini ni makontena boing na sgr.ila ukisikia ukuta wa mererani basi ujue kuna jipya au ukisikia accacia basi ni kesi imefikia pabaya kwetu..parakabanda kabundi alisema tuna pesa ila hatusemi tusije kudaiwa yaani wanaficha as if watasamehewa madeni yale na bora basi deni lingekua la nchi kwa nchi kidogo ibgekua na afadhali..niwakumbushe mkalioe deni linalodaiwa kwanza tanesco mkijiandaa kuwalipa na wanaume wale wa accacia
 
Ukumbuke wale ni wanaume kwelikweli,
Kwasauti ya chizi.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Mchanga wa madini almaarufu kama MAKINIKIA kwa lugha yetu penda ambayo yalipelekea kuundwa kwa kamati kuu mbili ya kwanza ikiongozwa na Prof Muruma iliyo reveal kwamba kule ndani ya makontena yale kuna madini mengi sana na kamati ya pili ikiongozwa na Prof Nehemia Ossoro iliyokuwa imejikita katika ku justify economic impact ya madini yaliyokuwa yanachimbwa tokea mwaka 1998 na kuonesha kuwa ACACIA waliibia SIRIKALI kiasi cha pesa za kitanzania kisichopungua Sh 492,000,000,000,000/= yameyeyuka kimya kimya na yamechukuliwa na watu wasiojulikana kwenda pasipojulikana.

SWALI FIKIRISHI
1.Je sirikali imeamua kuwakabidhi ACACIA mzigo wao baada ya kuona negotiations processes ili tuende kwenye win-win zimeshindikana?
2.Je Sirikali imeamua kuwapa ACACIA mzigo wao ili kuepuka zahma zinazokuja kutokea mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya biashara za kimataifa?
3.Ripoti zilizoletwa na kamati zote mbili zilikuwa za kuwahadaa wananchi?
4.Je sirikali imeamua ku ya realize madini yale kwa hiyo imefanya uamuzi wa kuyachukua na kuyapeleka kwenye vinu vya wachina ili kuyachenjua?

UKIWA KAMA MZALENDO MWENYE UCHUNGU NA KODI YAKO ILIYOTUMIKA KUUNDA NA KULIPA ALLOWANCE MBALIMBALI KWENYE KAMATI ZOTE MBILI NJOO HAPA TUSEMEZANE ASEMA BWANA WA MAJESHI.

KIM JOHN UN (BANDARI MBALIMBALI ZA TANZANIA YALIPOKUWEPO MAKINIKIA YA ACACIA)
ILA KWA SASA NIKO MARA
Tunashukuru kwa taarifa ila jiandae kutoa ushahidi pale utakapohitajika.
 
Kwa taarifa nilizozipata kutoka kwa msiliwangu hapo bandarini makinikia bado yapo na yapo chini ya uangalizi maalum

Fuatilia taarifa kwa undani kabla ya kulisha watu matango poli

nenda bandari/Mofed utayakuta yamejaa tele
 
WEWE NAE NI KICHAA?
 
Nasikia rais kadai kuwa yeye ni kichaa
...basi siku ingine viongozi wetu wa kidini wakienda ikulu, mission yao isiwe kushauriana naye bali kukemea pepo "kichaa".

kichaa yeyote hashauriki wala hawezi kumshauri mwengine. kichaa anahitaji uponyaji tu, basi!
 
Kichaa ni ww Bendera fuata upepo unayelishwa maneno ya uongo na kuyaamini

Hivi mod hapa jamii forum kazi yenu nini huu uzi unapotosha watanzania kwa taarifa za uongo
NIKUPE LINK YA VIDEO RAIS WAKO AKISEMA YEYE NI KICHAA?
 
Back
Top Bottom