Za chini ya kapeti kabisaa yaani ndichi haswaa,,,,

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,331
Reaction score
21,741
Kuna jamaa alioa binti mzuri na mkali haswaa mwenye rangi ya umanga. Wamebahatika kupata watoto 4.

Shida ni huyo mwanamke kuwa na utaratibu mbaya wa kukopa huku na huko na kushindwa kuzirejesha akimwachia mzigo mumewe.

Kisanga kikubwa kabisa ni majuzi kati baada ya mwanamke kutaka kuchukua mkopo mkubwa mkubwa zaidi kwa kupitia hati ya nyumba yao bila kumshirikisha mumewe.

Sasa sijui nani alimshauri afanye process za kubadili umiliki wa nyumba, either way pia kuna nyepesi kuwa aliomahauri bidada huyo kufanya huo mchakato ndio pia aliuza huo mchongo kwa mumewe bidada.

Swali linabaki huo mkopo aliotaka kuuchukua huyo bidada alikuwa anakwenda kufanyia nini?

Maisha ni mchezo wa kuviziana kuwa makini maana hapo ulipo unaviziwa bila kujuwa..

N.B ambao bado hamjaoa msioe kama hakuna ulazima.
 
Hivi unajua kweli process za kubadili hati ya nyumba??

Unajua vizuri process ya kuchukua mkopo bank kupitia dhamana ya nyumba??


Ungekua unajua usingeandika haya
Hivi ulivoandika vinahusiana nini na hii stori yangu?
 
Mwacheni kipenzi chetu Jane apumzike inatosha... Ni kweli alikuwa mlafi msameheni sasa apumzike
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…