Z vs P

z ni nzuri sema tu usinywe ya moto na ukinywa ya baridi sa sita usiku unaamka umelewa.... p ni nzuri zaidi sababu naipenda siku njema rafiki nakuja kuchukua z za sikukuu jiandae
 
sisi wanywa soda tukae mbepeni......
 
z ni nzuri sema tu usinywe ya moto na ukinywa ya baridi sa sita usiku unaamka umelewa.... p ni nzuri zaidi sababu naipenda siku njema rafiki nakuja kuchukua z za sikukuu jiandae
[emoji3] [emoji3] [emoji3] watu na fani zao
 
ila kwenye mke sikupishi ng'o nitapigana hata vita ya 3 ya duniaπŸ˜€
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…