Yuwapi Komredi Benard Membe?

Yuwapi Komredi Benard Membe?

1A.jpg
 
Wamemfungia hoteli yake ninasikia eti anamalimbikizo ya kodi. Hili jiwe lenye visasi hili sijui ni jiwe la wapi
 
Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.

Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
yuko chini ya uangalizi maalum kwa masilahi ya chama
 
vuta picha ingekuwa vipi leo hii Mhe Membe angelikwa ndio Rais wa Tanzania,angesafiri mara ngapi kwenda nnje? wasanii wangapi wangeenda ikulu?
Kwani hao wasanii ni raia wa nchi gani?
 
Teheeteeh, Membe alisema 2016 maadui zake watakimbia nchi, imekuwa kinyume yeye ndio kakimbia maadui zake. Siasa bana eti nae alikuwa aishi magogoni?! mtama tu ilimshinda nchi nzima ingekuwaje?
Teh teh teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom