Yuwapi Komredi Benard Membe?

Yuwapi Komredi Benard Membe?

Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.

Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
Yupo Nje ya nchi na kula baada ya mavuno
 
Bernard Kamilius Membe ni mzima wa afya Tele ataongea muda muafaka kama kuna jambo la maana kusemea. Vita ya kumzuia nyang'au asiingie Ikulu ameipiga na kushinda kwa hakika.
 
Anajiandaa kuwa mkuu wa kale kaidara nyeti pale ikulu !

Over !
 
Ni muda mrefu sasa umepita sijamsikia jasusi mbobezi na mwanadiplomasia mahiri ndugu Benard Membe ambaye siku za awali za utawala wa JPM alijitahidi kutoa matamko mbalimbali kadri anavyojisikia. Kwenye sakata kama hili la sukari nimjuavyo angeshatoa tamko tena zito haswa.

Lakini sasa shushushu huyu hasikiki wala kuonekana kwenye media kama hapo awali, nini kimemsibu? Anayejua aje atujuze alipo mbunge huyu mstaafu wa pale Mtama.
Yupo likizo, anakula kiinua mgongo.
 
Tunapojadili mambo ya msingi kwa taifa letu,watu kama Membe hatupaswi hata kuwafikiria.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom