haa haa anadhani ataweza kuwahonga madiwani wote wa jiji la dar?
Kwani amekuwa LOWASSA??
Huyu si alikatwa ?!
mimi iko punguza foleni,iko engeza mabasi ya kichina,iko jenga flyover na tayari kwisha agiza treni za mjini,iko panga eno kubwa ya machinga ktk jumba moja ya babu yangu tena bureeee! Iko harakisha ujenzi wa daraja la kigamboni.Iko badisha Dar zaidi ya Nairobi.Barabara che.Haste haste!!!!!!!!!
ati manji anawza kununua hata kamati kuu! unafikiri CCM ni sawa na chaga development manifesto iliyonunuliwa na kibabu cha kimasai
Wewe zimehama kwa muda au humuelewi Manji anaezungumziwa hapa? Yaani akawe na nyumba huko ya nini? Yeye hadhi yake ni ya kuishi huko?
Kama Lowassa ni kibabu na ni mdogo by 2 yrs kwa Kikwete,kwa hiyo Kikwete utamwitaje?
ivi kashinda..??