Hii inadhihirisha bila hela hapa bongo ni mambo hayaendi
gollocko;
Hapana sio hapa bongo. Usiogope; sema ukiwa na hela ccm unaweza kuwa popote na kupewa cheo chochote hata kama hukitaki.
Wakati watu wanatoana mimacho kugombea fomu yeye watu wanamchukulia, kumjazia, na kukata tu picha kwenye gazeti, bandika, wasilisha chaguliwa. Hii kali ya uchaguzi mkuu.
Ila, yoote kuonesha jeuri ya ccm. Wala hakuna pingamizi pamoja na lalamiko la M/kiti mkoa. Dah! Yaani inatia huruma ati, Watz tunavyo nywea mtu akitikisa tu mkoba wake