Yusuph Manji mgombea udiwani wa CCM Mbagala!

Yusuph Manji mgombea udiwani wa CCM Mbagala!

Mzee wa Epa mzee wa mil 700 za kuhonga wajumbe NEC!
 
Sasa cc tulipomkata EL sababu ingine ikiwa mabilioni yake tulikuwa na maana gani?
 
Mfanyabiashara Yusuph Manji ameteuliwa kugombea Udiwani kata ya Mbagala kwa tiketi ya CCM.

Manji ambaye awali alikatwa na mkoa amerejeshwa na kamati kuu. Hata hivyo m/kiti wa CCM Madabida amesema hakubaliani na uteuzi huo kwani Manji alivunja kanuni.

Chanzo: Tanzania Daima
Madabida wa ARVs fake naye awe hakimu?!!!
 
Kumbukeni Mh. Ma-ropes akiwa RC alishawahi kumtambulisha kwa wakazi wa Kigamboni kuwa ni mbunge wenu mtarajiwa. Ndo anasogea hivo!
 
Mfanyabiashara Yusuph Manji ameteuliwa kugombea Udiwani kata ya Mbagala kwa tiketi ya CCM.

Manji ambaye awali alikatwa na mkoa amerejeshwa na kamati kuu. Hata hivyo m/kiti wa CCM Madabida amesema hakubaliani na uteuzi huo kwani Manji alivunja kanuni.

Chanzo: Tanzania Daima
Hata hivyo Manji hakuhitaji kupiga kampeni, nani asiyemfahamu Manji hadi atake kampeni kwa Manji?

Yanga Oyee!!!!
 
ati manji anawza kununua hata kamati kuu! unafikiri CCM ni sawa na chaga development manifesto iliyonunuliwa na kibabu cha kimasai
 
Ana mkono wa moja kwa moja na ARV fake ndo maana akafikishwa mahakamani. Nadhani ni managing director wa TPI.
 
ati manji anawza kununua hata kamati kuu! unafikiri CCM ni sawa na chaga development manifesto iliyonunuliwa na kibabu cha kimasai

Hapo pahala patakushinda na patakutia ,aibu baada ya 25 october
 
ati manji anawza kununua hata kamati kuu! unafikiri CCM ni sawa na chaga development manifesto iliyonunuliwa na kibabu cha kimasai

Sasa kwa nini amerejeshwa wakati ameonyesha jeuri ya hali ya juu ambayo imeweka hata rekodi ya dunia?

Hata huko Marekani akina milionea Donald Trump wanaonekana wakikukuruka kutaka kugombea uraisi, yeye amelala nyumbani kwake Seaview anachaguliwa kugombea udiwani Mbagala, kama si kuwanunua vigogo ni nini?

Au tuelezwe basi criteria zilizotumika kumrejeshea ugombea udiwani wakati hakutokea hata mara moja katika mchakato mzima wa kuanzia kuchukuwa fomu, kujitetea mpaka kupiga kura
 
Wana CCM mlioko JF mnasemaje kuhusu hili? Maana wimbo wa Lowassa na Chadema umeshachusha.
Sasa hivi ni kiburi cha fedha cha Manji vs Kamati kuu ya CCM.
 
Wewe zimehama kwa muda au humuelewi Manji anaezungumziwa hapa? Yaani akawe na nyumba huko ya nini? Yeye hadhi yake ni ya kuishi huko?
Anaishi wapi ndugu yangu? Nakama siyo huko kwenye kata wanayomtaka, ndiyo nauliza ni askari wa kukodi - mercenary?
 
CCM we acha tu chezea manji wewe? Kwa hiyo mbwembwe zote za Madabida zimeishia wapi?
 
Anaishi wapi ndugu yangu? Nakama siyo huko kwenye kata wanayomtaka, ndiyo nauliza ni askari wa kukodi - mercenary?

Hapana sio mercenary. Huyu ni mtz mwenzetu na mswahili kwelikweli aliezaliwa kwenye viunga vya Dar tena katikati kabisa ila sio huko anakogombea. Katikati ya jiji wajanja ni wengi huwezi pitisha ujanja ujanja kirahisi na wengi wana ka-uwezo fulani.Alikogombea ni rahisi kuongea na uongozi pale ukanunua kiwanja kwa bei ndogo hata kama utaweka kajumba na kumweka mwangalizi kurahisisha ugombeaji wako na kwenye register utawekwa.Hata kama kuna mmoja wa wanafamilia yake aliewahi kuishi huko labda babu maana baba yake alikuwa tajiri wa miaka mingi akijenga body za magari nae aliishi upanga ambako ndiko anakoishi hata huyu mtoto tunaemwongelea hapa. Kuna level fulani ya utajiri ukishaifikia uswahilini huwezi tena kuishi utaenda waliko wenzio na iwe rahisi hata wao kukutembelea. Hawezi kuja na gari lake la million300 aishie kuibiwa side mirrow au hakuna parking lot. Angalia hata wabunge wetu wengi hawarudi majimboni wanaishi Dar.
 
Back
Top Bottom