Oscar Lyrics
JF-Expert Member
- Oct 8, 2022
- 3,004
- 5,176
Mungu amfanyie wepesi apone haraka, japo mi mwananchi lakini sisi ni watani si maadui
Akili za Utopolo hazijawahi kudanganya.Safi kabisa
Kwani Boko bado yupo Simba?Viongozi wa simba kuweni wakali kwa wachezaji wenu... Wataumizana 😂😂😂
Nenda facebook bro akili zako ndogo sana. Kama hujui injury record ni miongoni mwa vitu muhimu vinavyoangaliwa kabla ya kusajili mchezaji. Sikupi maeleza mengi maana najua kichwa cha shabiki wa yanga hakiwezi kuelewa.Tokea amekuja yanga kaumia mara ngapi tuambie tuweke rekodi sawa!