Yusufu Manji kasusa kabisa?!

Hebu acha weweee! Alikuwa ana kesi ya uhaini huyu?
Walimkuta na majora ya vitambaa vya kombati za jeshi, na kombati 250 kwenye Goodown lake, wakasema ni muhaini, serikali ndio walisema sio mimi.
 
Kwanini wasiwafuate wanunuzi waliokua wakinunua mwanzo?! Kwani Manji aliwakataza pia, au walisusa baada ya Manji kuwekwa mahabusu?!
 
hao waliomfanyia nao watafanyiwa, 2025 ni keshokutwa tu, kwanza tunaanza na huyo aliyeuza nyumba za serikali akiwa waziri, manake hapo hatakuwa na kinga,
Hahaha sasa atakuwa na kinga ya rais, hata kivuko hewa hamtampata
 
Kila mtanzania sasa hivi anaomba dua kuomba matokeo yatokee yanayomfurahisha yeye na familia yake.
Simuombei mabaya Manji, nauliza mbona kimya hata kwenye udiwani hayuupo. Club ya yanga hajarudi au ugonjwa?!
 
Hahaha huko ndiko alitusaidia, unadhani tungeangalia wapi tena?! Wengi tumemfahamu Manji ndani ya yanga huko kwingine ilikuwa nyongeza.
 
Waliouza washitakiwe wote. Hata yeyeanaguswa. Ukitumwa kuua na ukatekeleza, huwezi kusema uhusiki, wewe ndio muhusika number moja.
 
Hahaha huko ndiko alitusaidia, unadhani tungeangalia wapi tena?! Wengi tumemfahamu Manji ndani ya yanga huko kwingine ilikuwa nyongeza.
sisi wengine tunafahamu biashara za kihindi zote ziko hivyohivyo kama za manji tangu akina Gulamali, Azim na wengine.
Walimkuta na majora ya vitambaa vya kombati za jeshi, na kombati 250 kwenye Goodown lake, wakasema ni muhaini, serikali ndio walisema sio mimi.
Mahakama iliamuaje?
 
sisi wengine tunafahamu biashara za kihindi zote ziko hivyohivyo kama za manji tangu akina Gulamali, Azim na wengine.

Mahakama iliamuaje?
Nasikia waliyatupa wakafuta kesi zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…