Yusufu Makamba Ana Mgomo Baridi?

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Au yale yalitabiriwa ya kuvuliwa ukatibu mkuu wa genge yalishatimia kimyakimya?

maana sasa kila mtu ni msemaji wa chama: mara sophia simba, mara pinda, mara chiligata, mara kilango, mara wasira, mara jumuia ya wazazi, mara sijui nini, bado shehe yahaya tu.

wengine wanaamrisha hata vyombo vya dola viishughulikie chadema, lakini Msambaa kakaa kimyaaaaaaaaa.

ndo maana nauliza why?
 
Msambaa ameshauriwa kukaa kimya. maana kila aiongea ni non sence. Busara iliyobaki kwake ni kuwasimulia hadithi wajukuu zake tu.
 
Mtu wa kwanza kukumbukwa na fagio la kurekebisha Chama Cha Majambazi kama ilivyotangazwa na mkulu kwenye hotuba ya mwisho wa mwezi wa pili ni huyu jamaa. Amesaidia sana kuongeza kina kwenye kaburi la CCM na sasa wanaona hawawezi kwenda mbele bila kumpiga chini. Inawezekana tayari amepigwa chini kimya kimya lakini nafikiri fagio hilo hilo linapashwa kumkumba na Chiligati kwani na yeye ni empty headed.

Kwaheri Makamba!!!!

Tiba
 
Anafanya mazoezi ya kukaa benchi. Amejitahidi kweli!

kama kapigwa benchi bora aendeleze shule yake sasa; maana naskia inaogoza kwa kutoa zero kwa shule za Dar ikifuatiwa na SK secondary school
 
Au yale yalitabiriwa ya kuvuliwa ukatibu mkuu wa genge yalishatimia kimyakimya?

maana sasa kila mtu ni msemaji wa chama: mara sophia simba, mara pinda, mara chiligata, mara kilango, mara wasira, mara jumuia ya wazazi, mara sijui nini, bado shehe yahaya tu.

wengine wanaamrisha hata vyombo vya dola viishughulikie chadema, lakini Msambaa kakaa kimyaaaaaaaaa.

ndo maana nauliza why?

Yupo kwenye zoezi la kukusanya misemo ya kutoka nayo. Atakapoanza kuropoka, mimi simo.
 
Huu mwendo wa sasa hauwezi ameona bora akae kimya coz kila akiongea ndio anazidi kuua na kuzika chama. So ameiga style ya mkapa ya kukaa kimya maji yanapokuwa shingon
 
Mgoshi Mshambba kachemsha!!
Alianza kutokota toka alipoteuliwa.
Sana sana mgoshi huyu ni msheherashaji na joker katika chama tawala-thinks through the mouth!
Iliyonichekesha zaidi ni wakati wa kampeni 2010.
Na ilikuwa hivi:
Mgoshi Makamba: Huyu Shlaa ni mwidjhi wa wake za watu huyu
Dr Slaa:Huyu Makamba asijidai mtakatifu wakati mimi nina mchumba wangu, sasa atatuambia ni kwanini alifukuzwa kazi alipokuwa kule Kigoma
Alimtia mimba mtoto wa watu huyu asijidai mjanja.
Mgoshi Makamba(baada ya kufikiri kwa mara ya kwanza): Mzee mwenzangu Shlaa, waandishi wanatuchonganisha hawa.Hatujawahi kugombana
shishi(huku akitweta)

Hapo ndo namwita huyu jamaa a failed stage actor.
 
Msambaa ameshauriwa kukaa kimya. maana kila aiongea ni non sence. Busara iliyobaki kwake ni kuwasimulia hadithi wajukuu zake tu.

Hao wajukuu wake watakuwa wehu kama yeye. Bora wasisikilize hadithi zake.
 
Au yale yalitabiriwa ya kuvuliwa ukatibu mkuu wa genge yalishatimia kimyakimya?

maana sasa kila mtu ni msemaji wa chama: mara sophia simba, mara pinda, mara chiligata, mara kilango, mara wasira, mara jumuia ya wazazi, mara sijui nini, bado shehe yahaya tu.

wengine wanaamrisha hata vyombo vya dola viishughulikie chadema, lakini Msambaa kakaa kimyaaaaaaaaa.

ndo maana nauliza why?

Acha wavurugane wapigane watoke damu na hii ndio mafanikio ya Taifa. Kitu chochote kile kinacho saidia kufa kwa ccm mimi I am for it. Let's put dirt on ccm cemetery.
 
Back
Top Bottom