Yusuf Manji: Nitamshitaki Makonda kwa kunichafulia jina

jamaa mahakama ikiwakuta hawana hatia makonda hatafte pa kujifcha. mana haya majtu n makubwa. namsubr gwajima mbowe
 
Itakua kuhusu Ngada tuu

Mbona amejitetea kitoto sana au Kiswahili shida kukitamka lete vijembe na misemo.

Pia anaonekana kutishia vyombo vya habari visimzungumzie wala kumuandika halafu amelenga zaidi magazeti ya kesho.
Iko vizuri ila ndo hivyo ukishakuwa na "makengeza" hata ukionyeshwa na kuambiwa ukweli huwezi kuuona wala kuusikia
 
Minazani makonda kunakipengele anajivunia, nakumbuka mh.rais alishawaikusema yakwamba mawakili ambao nao wanawatetea waalifu nao siombaya wakikamatawa. Naii labda makonda ndio jivuniolake
 
Baada ya kutajwa manji kwenye list Makonda je ni kweli yanga inaendeshwa kwa faida ya pesa za madawa ya kulevya?...

Mimi kama shabiki wa yanga nataka kujua je pesa ambazo uwa anatoa Mara milioni 100 kanunua mechi mashabiki wa yanga waingie bure je ni utakatishaji wa pesa?....

Au ni nini hii ? Naomba tujue kama ni pesa za dawa....
Kwani gate collection yote unajua waliotoa wanafanya kazi gani?

Inaendeshwa hata na pesa ya kitimoto.
 
Manji kakosea sana kuitisha press conference, angeacha tu ijumaa aende, then akishahojiwa ndipo angetafakari kuitisha hiyo press....

Hata akienda mahakamani, atashindwa tu maana yeye katuhumiwa tu na si kwamba kakutwa nayo, kutuhumiwa ni jambo la kawaida sana hata ukitangazwa haina tatizo, baadae ikithibitika kuwa huusiki itatangazwa tena kuwa huusiki, so sioni haja ya yeye kupanic kiasi hicho...
Unajua athari ya kufanyiwa defamation kibiashara? Tatizo hamjawahi kufanya hata biashara ya vitumbua ndio maana huwezi kumuelewa manji.....hata mama ntilie akichafuliwa tu kwa kusemwa ugali wake umekutwa na mende ndani inaathiri jina na biashara yake...mbele utamuelewa tu Manji
 
Manji kakosea sana kuitisha press conference, angeacha tu ijumaa aende, then akishahojiwa ndipo angetafakari kuitisha hiyo press....

Hata akienda mahakamani, atashindwa tu maana yeye katuhumiwa tu na si kwamba kakutwa nayo, kutuhumiwa ni jambo la kawaida sana hata ukitangazwa haina tatizo, baadae ikithibitika kuwa huusiki itatangazwa tena kuwa huusiki, so sioni haja ya yeye kupanic kiasi hicho...


Kwanza Hujui Sheria Hivyo Usichangie Usichokijua

Pia Hujui Nyadhifa Na Majina Ya Watu Yana Hadhi Na Uzito Gani
 
Gwajima tafadhali Uwanja ni wako haiwezekani mtoto mdogo hivi akudhalilishe kiasi hiki amekuvua nguo baba.


Njoo ujibu mapigo camera na kalamu zipo tiyari njoo uamshepopo najua timbwili lako ni tatizo lingine.
 
Sisi huku mtaani maisha ni magumu kinoma noma,ngoja tuwatizame hao mabwana wakubwa baada ya kula hela za wanyonge wa nchi hii kwa muda mrefu sasa wanaanza kuparurana
 
Hivi mkuu wa mkoa ndiye mwenye haki pekee ya kutaja watu halafu wajipeleke wenyewe polisi?kwani na yeye siametajwa na Msukuma,kwanini na yeye asijipeleke polisi? Wadau wa sheria naomba mnisaidie hapo. Au ndio ukiwa kiongozi katika serikali hii wewe uko juu ya sheria,hata ukiwa muuza madawa huna kesi?Tunakutaka na wewe Makonda ujipeleke mwenyewe polisi ukahojiwe kwani na wewe unetajwa kama musika kwenye madawa ya kulevya.
 
Mimi naona ni sifa za kiindi tu hizi.
Eti anawaelekeza na waandishi wa habari namna ya kuandika habari zake. Who is he? Yani pesa zake ndo zinamfanya awe kama mungu
 
Back
Top Bottom